Recent content by chairman mao

  1. chairman mao

    Naibu Waziri apata ajali mbaya

    nyingine hiyo
  2. chairman mao

    Naibu Waziri apata ajali mbaya

    picha hiyo.......
  3. chairman mao

    Membe akalia 200bn za Zanzibar

    Dr shein kakaa kimya,maalim seif karidhika,balozi seif kaona sawa. Wewe peke yako ndio umeona Mh. Membe tatizo. Iko shida hapa
  4. chairman mao

    Msaada:Vodacom wamenitapeli

    Inaonekana nimetapeliwa na hakuna dalili za kupata haki yangu
  5. chairman mao

    Msaada:Vodacom wamenitapeli

    Nipo kiomboi singida Hakuna vodashop maeneo haya.
  6. chairman mao

    whatsapp messenger

    Samsung iki run android os lazima ikubali whatsapp
  7. chairman mao

    Msaada:Vodacom wamenitapeli

    Tarehe 11/4/2012 niliishiwa bundle yangu ya bomba 30.hivyo nikanunua 30,000 za muda wa maongezi kutoka kwenye line yangu ya vodacom kwenda kwenye line nyingine ya vodacom ambayo huwa naitumia kwenye modem. manunuzi nimeyafanya 11:00am na msg ya manunuzi nikaipata kuwa nimepokea 30,000 ya muda wa...
  8. chairman mao

    Joseph Mbilinyi aka Sugu aitangaza Fiesta

    nimeiona ile video anayoizungumzia fiesta na inaonekana kama si ya mwaka huu
  9. chairman mao

    Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

    Kwa Mungu mbali mkuu.Naombeni tenda ni deal na huyu mstaafu kichina china
  10. chairman mao

    Nimekudondokea sana Halima Mdee!

    mie napenda sauti yake zaidi
  11. chairman mao

    Vyeti vya wahitimu UDOM kulikoni?

    kuna rafiki yangu kamaliza hapo na hadi leo hajapewa transcript yake zaiidi ya cheti kinachoonesha degree aliyosoma na class yake. haya wewe bwanga hizo transcript wanachapa nje au? nimeona vyeti vyao kwa kweli ni aibu kwa chuo kama kile kutoa vyeti vyenye quality mbovu vile
  12. chairman mao

    Hodi wanajamii.

    karibu sana morani
Back
Top Bottom