Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

Nashangaa thread kuhamishiwa kwenye business wakati inamhusu mwanasiasa mahiri. Hata hivyo wana JF ni vizuri wakaelewa kwamba huyu jamaa kila dakika huwa anakuja na mbinu mpya zaidi ya kuuibia nchi maana inasemekana pia kwamba kwa kushirikiana na TRA, kuna migawo wanaipata on a monthly basis kutoka katika makusanyo ya kodi. Sasa kwa syndication hii unategemea kuna mkubwa wa TRA ambaye atapaza sauti. Taarifa hizi nyeti zimevujishwa na wale wafanyakazi wa kada ya kati na wenye uchungu na nchi hii.
 
Kuna taarifa kutoka katika chanzo cha uhakika kwamba kampuni la Alpha ambazo zinamilikiwa na familia ya Edward Lowassa ambazo zinatengeneza mabilioni ya shilingi katika mitandao yake ya kibiashara, zimekuwa zikikwepa kodi mbalimbali ambazo zinatakiwa kulipwa na wafanyabiashara wote, kama vile kodi ya mapato, import duties kwa bidhaa wanazoagiza pamoja na kufanya mawasilisho ya VAT wanayokusanya kutoka kwa wateja wao.

Taarifa zinasema kwamba mchezo huu mchafu ambao hauzingatii hata sheria na mamlaka zinazotakiwa kutoa misamaha hiyo, zinafanyika kwa ushirikiano na vigogo wa TRA ambao wako kwenye pay roll ya wamiliki wa kampuni hizo. Kutokana na ukubwa wa biashara za Alpha na ukubwa wa mapato yao, mapato wanayokwepa yanakadiriwa kuwa ni kwenye mabilioni ya shilingi kila mwezi na yangeweza kuinua pakubwa katika pato la taifa na kwa kufanya hivyo, nchi hii inazidi kudidimizwa na wale wale ambao leo wanataka kupewa dhamana za uongozi katika taifa hili.

Wakati suala hili linaweza kuonekana ni la kawaida hapa nchini kwetu kutokana na kukosekana kwa nia thabiti ya kudhibiti vitendo vya kudhibiti mapato na rasilimali za taifa, katika nchi zilizoendelea kama Marekani mmiliki wa biashara hizi asingethubutu hata kuomba ujumbe wa nyumba kumi akakubaliwa. Huu ni wakati wa watanzania kuamka na kuelewa kwamba tunaposema kwamba Lowassa si mtu safi na aisyestahili kupewa heshima anayopewa na baadhi ya wapambe ambao wameleweshwa na fedha haramu! Umefika pia wakati wa kuifagia TRA maana madudu yao yanazidi kuwawamba watanzania katika msalaba mkali sana wa maisha!

Yote yaliyosemwa kuhusu waziri mkuu 'mstaafu' yanatosha sasa.
Kuna mambo mawili ya kufanya hapa.
1.Afunguliwe mashtaka sheria ichukue mkondo wake.
2.Tuendelee kupiga soga kumuhusu huyu mheshimiwa sana.
 
Mimi nilishaacha kupeleka nguo zangu pale Alpha Dry Cleaners toka nilipogundua kwamba namfaidisha fisadi huyu ili aendelee kutuibia watanzania. Lakini huyu Kitilya pale TRA amechanjia au ni kwa baba yake. Haya yote yanatokea chini yake na kwa kweli kama Chechetuka alivyosema yeye na mtoto wa huyo mwizi wetu ni chanda na pete!
 
Heshima kwako mkuu. Lakini sauti za wanaomlilia Mungu hazipotei bure. Iko siku Mungu atawatia ujasiri wale wenye mamlaka na kuwatendea haki watu hawa!
 
samahani naomba kujua kama manywele entertainment ni yake pia.
 
Kwa Mungu mbali mkuu.Naombeni tenda ni deal na huyu mstaafu kichina china
 
haya sasa mwashudia wenyewe huyu ndiye anayetaka kushika nchii hii yangu macho mtoto wake ana biashara nyingi sana za utapeli wa kuwaibia watanzania wako na kaofisi kao kengine pale maeneo ya ubalozi wa marekani ukifika pale kazi zao azijulikani ni magari ya kifahali na mtoto wa lowasa muda mwingi anakuwa pale na mkwe wake lowasa pia wanakuwepo ni muda wote unakuta wako bize yan kweli hawa watu wanatupeleka pabaya sana jaman lowasa huyu iko siku yake
 
samahani naomba kujua kama manywele entertainment ni yake pia.

Hebu mpe heshima yake bwana! Yaani yeye aingie biashara ya kuuza kucha za bandia na wigs ndo ifanywe na mkubwa huyu? Ile ni ya mabinti wa mjini hapa!
 
haya sasa mwashudia wenyewe huyu ndiye anayetaka kushika nchii hii yangu macho mtoto wake ana biashara nyingi sana za utapeli wa kuwaibia watanzania wako na kaofisi kao kengine pale maeneo ya ubalozi wa marekani ukifika pale kazi zao azijulikani ni magari ya kifahali na mtoto wa lowasa muda mwingi anakuwa pale na mkwe wake lowasa pia wanakuwepo ni muda wote unakuta wako bize yan kweli hawa watu wanatupeleka pabaya sana jaman lowasa huyu iko siku yake

Nashangaa Dr. wa ukweli alipomlalamikia Ridhiwani huyu alimwacha kwa sababu ipi (kama siyo kukwepesha hoja) maana utajiri wa kijana huyu kamwe hauendani na umri wala background yake. Jamaa inasemekana yumo hata kwenye dili za unga na kufanya money laundering ya maharamia wa kisomali. Ndiye huyu aliyenunua nyumba London tena kwa transfer ya fedha ambayo wala haikuzingatia sheria ya fedha za kigeni na nia hakika hata Benki Kuu haikupata kujulishwa kuhusu jambo hili. Hawa jamaa ni mzigo mzito ambao watanzania wamefungwa nao na haijulikani tutautua lini!
 
Mzee! huyu udobi wake siyo kama ule wa wazee wa kule mjini wenye kameza na pasi ya mkaa. Mwenzio kawekeza kweli kweli na nasikia analazimisha mahoteli kupeleka mashuka na mataulo kwake vinginevyo kodi wanapandishiwa na kutishiwa kulipuliwa kwamba hawalipi kodi. Jamaa amekuwa akimchochea boss wa TRA kuwa-black mail wafanyabiashara ili hatimaye wamuunge mkono au vinginevyo biashara zao zipigwe kufuli na kupewa mizigo ya kodi bandia. Iko kampuni moja ya wanafamilia wawili ambao sasa wamelazimika kuunga mkono harakati zake za urais ili kunusuru biashaa zao.
 
Hakuna mtu,watu,idara,taasisi,paka,au shirika la kuchukua hatua?
 
Mzee! huyu udobi wake siyo kama ule wa wazee wa kule mjini wenye kameza na pasi ya mkaa. Mwenzio kawekeza kweli kweli na nasikia analazimisha mahoteli kupeleka mashuka na mataulo kwake vinginevyo kodi wanapandishiwa na kutishiwa kulipuliwa kwamba hawalipi kodi. Jamaa amekuwa akimchochea boss wa TRA kuwa-black mail wafanyabiashara ili hatimaye wamuunge mkono au vinginevyo biashara zao zipigwe kufuli na kupewa mizigo ya kodi bandia. Iko kampuni moja ya wanafamilia wawili ambao sasa wamelazimika kuunga mkono harakati zake za urais ili kunusuru biashaa zao.

Fagio la chuma latakiwa lianzie kumwondoa mheshimiwa mstaafu na lishuke chini kwa hawa vibaraka wake walio kwenye taasisi mbalimbali nchini.
vinginevyo kila siku yatakuwa yanaibuka mapya tena yatakuja mazito zaidi kwa sababu ana vimba kichwa kwa kutokuchukuliwa hatua zozote
 
Hapa umenena mkuu. Jamaa ana jeuri ya ajabu na kama ulivyosema ataanza kuiba hata vyungu vya maua pale ikulu
 
I wish utekelezaji uanze mapema iwezekanavyo kwani nimechoka kusikia habari za kina RACHEL.
 
Back
Top Bottom