Naibu Waziri apata ajali mbaya

Naibu Waziri apata ajali mbaya

Tumbi hamna Xray for almost 6months now, huyo jamaa atahamishwa fasta.
 
haya mashangingi ya v8 wanayonunua kwa kudhurumu watanzania itakuwa
sara zimefika kwa mungu
inawezekana mkuu! Mungu anajua kila ki2 cha haki na dhuluma. Paytime. Let them face what they dizavu.(kwensekwensi)
 
mbona heading haiendani na habari. ajali mbaya mtu anapona?. mia
 
Pole sana mhe, mungu akuafu wewe na dreva apone haraka aungane na familia,
 
Wana JF kwenye mambo ya huzuni kama ajali na vifo tuweke itikadi za siasa pembeni,kwani ajali haina chama wala jinsia.Tuepuke lugha za kebehi kumbuka hata wewe inaweza kukutokea ukiwa umepanda boda boda,baiskeli hata daladala haijalishi.
 
Mbona hamna ajali ni bust tu ilitokea gari ikaacha njia na kugonga mpapai
 
picha hiyo.......
 

Attachments

  • IMG-20120807-00098.jpg
    IMG-20120807-00098.jpg
    32.1 KB · Views: 55
Mungu awajalie afya ya mapema majeruhi wote. Amen
 
ni moja ya maisha hujafa hujaumbika..mungu amsaidie apone aendelee kuchapa kazi...
 
Nilikuwa sijui yeye ni Naibu Waziri. In fact nabisha kwamba yeye ni naibu waziri. How could I have missed it.? [Au labda kwa vile alikuwa too busy anafanya ufisadi katika bodi ya korosho,hakusikika kama naibu waziri]
 
kwani alikopa ama anadaiwa?

Yeye na serikali yake, wanawakopa wamama wanaokufa wakiwa wanajifungua kwa kukosa huduma za afya kwakuwa pesa ambazo zingenunua madawa na kuwalipa magyno zinanunua hayo maV8; wamewakopa watoto wanaokufa kwa kuharisha kwa kukosa maji safi na salama hata ORS hospitalini!
 
wakati wa ajali inatokea nyuma kulikuwa na gari ya waziri wa mambo ya nje mhebMembe na ndio alitoa msaada wa kusaidia kuokoa majeruhi na mali kwenye gari.
Mhe naibu waziri yupo salama....ni dereva wake alieumia vibaya kichwani.
Sasa dereva anapelekwa muhimbili kutoka tumbi.
 
Back
Top Bottom