Vyeti vya wahitimu UDOM kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyeti vya wahitimu UDOM kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tatanyengo, Apr 4, 2011.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni takribani miezi mitano impepita sasa tangu mahafali ya kwanza ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ifanyike na kuhudhuriwa pia na mkuu wa nchi ambaye alitunukiwa shahada ya uzamivu. Jambo la ajabu na la kusikitisha ni kwamba hadi sasa wahitimu hao hawajapewa Transcripts zao. Hali hii imeawasababishia usumbufu mkubwa kwani wanashidwa kuomba kazi au kupandishwa vyeo/madaraja makazini kwao.Wanapofuatilia wanapewa majibu rahisi tu njoo baada ya wiki moja, njoo baada ya wiki mbili au mwezi. Tunaomba mamlaka husika zisaidie ili wahitimu hao wapate haki yao.
   
 2. Bwanga

  Bwanga Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza:
  rekebisha heading yako, vyeti na transcripts ni vitu viwili tofauti, vyeti vilitolewa wakati ule ule wa gtaduation, tena viko poa na vinaonesha hadi degree class yako.

  pili:
  utakuwa unadaiwa ada wewe, nenda ukalipe then utapewa chetu chako pamoja na statement of results.

  tatu:
  nawapangeza zana uongozi wa prof. Ludovick kinabo, (dvc-arc) kwa kuwa makini na kuhakikisha upatikanaji wa vyeti bila usumbufu kwa wahitimu licha ya chuo kuwa kipya, nenda kawaulize cbe, tangu chuo kinaanza mpaka leo hawajui hata vyeti vikoje.

  nne:
  vijana kibao waliomaliza udom wameshapata ajira kwanye makampuni na mashirika makubwa kama tra, na wengine juzi walikuwa kwenye usaili wa utumishi wa umma.

  Unatani wamepataje?

  ____________________________________
  wish u all the best kwenye soko la ajira.
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,088
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi unavyoongea wewe siyo mwanafunzi,ungekuwa bayana ama wewe ni sehemu ya utawala ama la..unachokfanya unaongea kama sehemu ya utawala..are u? kimsingi suala la kutoa ama transcript ama vyeti limeanza kuwa biashara,uliza ni wangapi wametoa pesa ili kupata hizo nyaraka halali zao ...fast fast 20,000/=,10,000/ study case nenda Udsm
   
 4. chairman mao

  chairman mao Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna rafiki yangu kamaliza hapo na hadi leo hajapewa transcript yake zaiidi ya cheti kinachoonesha degree aliyosoma na class yake.
  haya wewe bwanga hizo transcript wanachapa nje au? nimeona vyeti vyao kwa kweli ni aibu kwa chuo kama kile kutoa vyeti vyenye quality mbovu vile
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi ndo kile chuo kinachotoa phdbila ya kudahili wanafunzi kwa kozi hiyo?
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Chuo cha ajabu sana hiki....vyeti vinaanza kabla ya transcripts?! UDOM si lolote,si chochote..
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  labda hii nayo ni moja ya vitu inayoitofautisha na vyoo vingine!
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nimepoteza kumbukumbu!! Hivi kati ya cheti na Transcript yupi baba na yupi mtoto yaani nini kinamzaa mwenzake?
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo ndio tofauti ya chuo cha kata na vyuo vingine inapojihidhirisha............... Chuo cha kata at its best/worst.........
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi watu washaanza kugraduate chuo cha kata???? :A S-key:
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hee wandugu UDOM ni chuo cha kata? Ni kwa kuwa kilianzishwa wakati mmoja na shule za sekondari za kata au wanafeli kama shue za kata kama tulivyoshuhudia mwaka huu/jana?
   
 12. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kwa kawaida huwezi pata transcript kabla huja-graduate. Congregation ikishamalizika ndo transcript zinatolewa. Kabla ya hapo utapewa statement of results. Cheti kinatolewa wakati wa graduation au siku chache baadaye. Ila inategemea na utaratibu wa chuo husika. Uzoefu wa UDSM, cheti hupatikana baada ya mwaka mmoja, kwa sababu kwamba vinachapishwa nje ya nchi. Lakini, haki ni mhitimu kupata cheti chake siku ya kuhitimu au siku chache badaye.
   
 13. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  vyeti vinaanza kabla ya transcripts,mmhhhh mbona haiingii akilini mwangu. tusaidiane wanajf nini kinaanza kati ya hivyo,inawezekana nimesahau na mimi.
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hapo sawa manake UDSM huwa hawapewi chochote wkt wa congregation. Huwa wanapewa statement of results na baadaye transcript kisha baada ya muda mreeeefu ndio kinafuata cheti. Ahsante kwa kunipa ilimu.
   
 15. S

  Spellan JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unaumwa mavi ww! ucwe unaropoka usichokijua.
   
 16. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu asante sana kuwakumbusha ma graduate maana wengine wanadai transcript kabla hata matokeo ya mwisho hayajatoka!
   
 17. fikirini

  fikirini Senior Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni takribani wiki 3 au 4 sasa tangu tangazo la udom linalowafahamisha wahitimu wakachukue transcript zao, rejeeni tovuti ya Udom
   
 18. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa uelewa wangu pamoja na experience,ni kwamba vyeti huwa vinatolewa siku ya graduation, then transcript zinachkua muda kidogo,say a week after graduation.
   
Loading...