Nimekudondokea sana Halima Mdee!

Nimekudondokea sana Halima Mdee!

Status
Not open for further replies.
ama kweli ukistaajabu ya mussa utaona ya farao
 
Hajamtamani kimapenzi jamani kwani ametoa "IMPOSSIBLE DREAM" Kwani hakuna mtu anatamani kuishi kwenye ndoa ambayo tayari ameitabiria ndivyo sivyo.
 
Kwani wewe ni mwanaume au mwanamke? Kama mwanaume sahau, huyu ni mwenzetu kavaa jezi za timu pinzani.
Naomba umuheshimu mbunge wangu acha siasa za maji taka....tuhuma zingine ni ngumu kuthibitisha.
 
inaonekana waliokuwa wakitamani ni wen4 e
 
hii ni aina nyingine ya kutukanana, na imefanya kazi vizuri kwa kama mtoa mada alivyopanga, lakini haina madhara, pole
 
I like Halima Mdee so much, natamani niwe na confedence kama yake!! Keep it up...mheshimiwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom