Msaada:Vodacom wamenitapeli

chairman mao

Member
Mar 15, 2011
38
4
Tarehe 11/4/2012 niliishiwa bundle yangu ya bomba 30.hivyo nikanunua 30,000 za muda wa maongezi kutoka kwenye line yangu ya vodacom kwenda kwenye line nyingine ya vodacom ambayo huwa naitumia kwenye modem.
manunuzi nimeyafanya 11:00am na msg ya manunuzi nikaipata kuwa nimepokea 30,000 ya muda wa maongezi.
Name:
Number: Vodacom
Content:
Umepokea Tsh 30000.00 na NYONGEZA ya asilimia 25.Salio lako jipya ni Tsh 30000.00. Kumb. 444270891215052680.Kujua salio lako la NYONGEZA, piga *102*01#.
Time: 11/04/2012 11:00:16

Baada ya hapo nikatuma meseji ya kujiunga na bomba30 lakini nikapata ujumbe huu.
Name:
Number: Vodacom
Content:
Salio lako halitoshi kununua kifurushi cha Data.Tafadhali ongeza salio lako na kisha jaribu tena au nunua kifurushi kidogo cha data.
Time: 11/04/2012 11:02:07

Baada ya hapo nikatazama salio na kukuta ni 14,000 badala ya 30,000.
Instantly nikapiga customer care kuulizia hela yangu ilipoenda na mpaka leoo hii sijafanikiwa kurudishiwa hela yangu.
Nimefanya jitihada zote za kupiga simu na mara zote kila anaepokea simu ananipiga kiswahili na wala haoneshi kutambua kama nilishapiga simu na kutoa malalamiko yangu.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu ili wanirudishie hela yangu.
 
In a phone conversation a person can answer you the way he/she feels. With time, nenda vodashop kubwa close to your place. Go with all your evidences, tell them the story. Wakigoma, engage the third party (law enforcing institutions).
 
In a phone conversation a person can answer you the way he/she feels. With time, nenda vodashop kubwa close to your place. Go with all your evidences, tell them the story. Wakigoma, engage the third party (law enforcing institutions).

Nipo kiomboi singida
Hakuna vodashop maeneo haya.
 
Nipo kiomboi singida
Hakuna vodashop maeneo haya.


hata ukienda voda shop wanakuambia kwenye mtandao haionyeshi kama kuna salio, nilipata tatizo kama hisa easter sunday pamoja na kupiga simu na kufuatilia majibu niliyopewa ni hayo na risiti ninsyo. TRCRA mmelala au????????????????
 
mimi nilinunua umeme kwa m pesa toka tare 15 usiku. Nimejibiwa kua pesa imekatwa kwenda luku lakini umeme sijapata mpaka leo. Nimepiga c/care mpaka nimekoma ila sitarudia tena
 
We jitahidi uende Vodashop ndiko utakapopata suruhisho ndg yangu.

Haisaidii KITU ni wizi mutual, mm nilienda vodka shop pamoja NA kwamba nilinunua bundle tarehe 12 April nikaambiwa KWENYE system haionyeshi Mara ya mwisho unaonekana januari 18, ni wizi tu we do not have time to waste our valuable time waache wizi period
 
mimi nilinunua umeme kwa m pesa toka tare 15 usiku. Nimejibiwa kua pesa imekatwa kwenda luku lakini umeme sijapata mpaka leo. Nimepiga c/care mpaka nimekoma ila sitarudia tena

Inaonekana nimetapeliwa na hakuna dalili za kupata haki yangu
 
Back
Top Bottom