Recent content by Bobbyray

  1. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ulitaka acheze nani kati wakati enzo na caicedo hawapo inabidi tuwe watulivu muhimu tumepata point 3 wale Brighton msimu uliopita wametupiga game zote
  2. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mchuano unazidi kuwa mkali
  3. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ww ndo haupo serious
  4. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ila ww jamaa eti 50M vitu vingine tuache hujuaji wakati mlitaka kupeleka 100M hakuna mchezaji mzuri utampata kwa bei rahisi sasa mfano mzuri kwa Bruno kule bado ofa yenu ipo chini
  5. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Huu mzigo wa The Night Manager S02 wa moto sana
  6. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu Rosemary hamna kocha kabisa hana mbinu zozote katika mechi kubwa kilichotokea jana ni aibu timu ina makosa mengi sana
  7. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ww ulitakaje jitu lilishafanya mazungumzo na city kwenda kumreplace Guardiola likaanza kufanya vituko ili avunje mkataba ulitaka tuendelee kupata vipigo
  8. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hawa wamiliki ni shida lakini pia kocha matatizo mengine kajitakia mwenyewe anafanya rotation za ajabu timu mpaka inakosa kikosi cha kwanza kila mechi anafanya mistake za ajabu
  9. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu kocha mechi nyingi sana katupoteza ambazo za ushindi kila shabiki unayejua soka kaliona Hilo
  10. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yani timu inafanya vibaya wote tunaona ni mistake anazofanya kocha lakini bado kuna watu wanatetea anafanya majaribio kila mechi kama tupo preseason kikosi kila siku kipya wachezaji anachezesha out of position
  11. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu Maresca ni kocha wa hovyo sana
  12. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hapana Uefa wanataka chelsea iuze wachezaji waliocheza conference msimu uliopita
  13. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haya sasa wako wapi wale waliokuwa wanasema tumepita njia nyepesi mara tumecheza na timu dhaifu
  14. Bobbyray

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uefa zinaenda timu 6 mzee
Back
Top Bottom