Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20260719-200834.jpg
Screenshot_20260719-195630.jpg
Screenshot_20260719-194832.jpg
Screenshot_20260719-194631.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20260719-194737.jpg
    Screenshot_20260719-194737.jpg
    265.2 KB · Views: 5
Ila ww jamaa eti 50M vitu vingine tuache hujuaji wakati mlitaka kupeleka 100M hakuna mchezaji mzuri utampata kwa bei rahisi sasa mfano mzuri kwa Bruno kule bado ofa yenu ipo chini
Haupo serious. Ila endelea
 
Tofauti na hii kazi, huyu tapeli hakuna kazi nyingine amefanya kwenye hi WC

 
Hoja yoyote nitayoandika hapa ni hoja niliandika wakati mnamchukua Mudryk, Zakaria, Santos na wengine. Arsenal ilionyesha interest kwa Rogers ikawa inataka kupeleka 50M, timu iliyotoka kuchukua ubingwa imeona Rogers ana thamani hiyo, timu iliyoshika nafasi ya kumi inatoa 117M.

Kubababake.
Kwa kweli....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom