Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,499
- 34,069
Poa mkuuMiMi natumia moviebox o2tvseries, todaytvseries. Episode ya 8 itapandishwa kesho au J5
Poa mkuuMiMi natumia moviebox o2tvseries, todaytvseries. Episode ya 8 itapandishwa kesho au J5
Kumbe nisiicheki na nshaipakua dah!Kuna mtu alipendekeza humu tucheki series inaitwa scarpetta ukiangalia genre yake inashawishi kutazama maana ni thriller ila Sasa humo ndani ni ushubwana mtupu maneno ni mengi kuliko matukio na maneno mengi yamebase kwenye Mambo hayana maana yaani nimechoma mb zangu Bure kabisa
Kumbe nawe umechoma mb pole sana series ya kijinga sanaKumbe nisiicheki na nshaipakua dah!
Hio sio ya kukosa hii sio ya kukosa angalia trailer kwanza uje unambie kama utaikosa hii.
Scars Vincenzo Jr dosho12
Seran Hziyech22 Mr Key
Na wengine wote ambao sijawataja
View: https://youtu.be/xLmf1KUd0UA?si=36zs8dvL_qMlOU1r
Ipo kama netflix tu sema prime inakupa uchaguzi zaidi wa series na movie nachoipendea kule hadi zile movie zetu pendwa zipoNaombeni kujua prime video inafanyaje kazi..
Hio sio ya kukosa hii sio ya kukosa angalia trailer kwanza uje unambie kama utaikosa hii.
Scars Vincenzo Jr dosho12
Seran Hziyech22 Mr Key
Na wengine wote ambao sijawataja
View: https://youtu.be/xLmf1KUd0UA?si=36zs8dvL_qMlOU1r
Wanachukua maoni ya makundi yote au? Ila salt ni kali sana aisee🔥Halafu hizi rates sijui wanazingatia Nini.
Hiyo final score Ina 5.8 huko IMBD
Agent 45 Ina 5.7
Salt Ina 6.5
Na zote ni Kali.
Utakuta muvi imekaa ushoga na UJINGA UJINGA mwingine inapewa 7.8
Wanazingua mnoHalafu hizi rates sijui wanazingatia Nini.
Hiyo final score Ina 5.8 huko IMBD
Agent 45 Ina 5.7
Salt Ina 6.5
Na zote ni Kali.
Utakuta muvi imekaa kishoga na UJINGA UJINGA mwingi inapewa 7.8
Mzigo huu hapa naudakaKama ulipitwa na hii muvi basi itafute haraka sana ni chuma kwelikweli. TikTok Kuna jamaa ame recommend NAMI nimepita nayo na nimekubaliana kwamba ni muvi tamu.
Huyu baunsa kajitahidi sana humu.
Kuna jamaa anaitwa Feisal humu kanifurahisha sana 😁😁
Pia Russians wa humu hawacheki na yeyote wapo serious na kazi yao sema ndo hivyo wamekutana na mkonono wa chuma Bautista
View attachment 3562293
View attachment 3562294
Sawa mkuu ..Oya zote ni Kali sana nimezicheki nakuongezea cheki na hii "Siren kiss"