Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Onana naye kaambiwa atafute timu.

Na yeye kamind kwamba kukosa kwenda CL inabidi apunguziwe mshahara kwa 25%
 
Kwa hapa theoretically Arsenal hawezi kushushwa hapo.

So battle ipo kwa hawa huku. Hawa ili usiku uharibike inabidi wapate chochote isipokua ushindi halafu Villa ashinde.

Nafasi ya tano tayari Spurs kashaibook. Atayejichanganya kukaa hapo kazi anayo.

Hapa sasa ndiyo kenge ataenda kukaza tako conference league ili aende europa cup kwa mlango wa uwani. Akifanikiwa timu za kwenda europa itakua kenge na palace kwakua palace kashinda FA.

Halafu wengine wataenda Conference league.
View attachment 3345413
Timu sita zitaenda UCL. Yale mambo ya kunyang'anyana nafasi yalishafutwa.
 
Kuna kitu hakijasemwa kilichowasaidia Manyumbu na Spurs kufika fainali, nacho ni kwamba UCL format mpya ilivyo, hakuna timu za UCL zinazoruhusiwa kushuka Europa, kama ilivyokuwa kwamba timu za 3 kwenye group zao zinashuka Europa. UCL sasa usipotoboa unarudi kwenu.

Maana yake ni kuwa hawakukutana na timu zozote zilizotoka UCL. Safari ya Manyumbu na Tottenham ilikuwa nyepesi, asikudanganye mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom