JAYJAY;579380]mara nyingi waandaaji tuzo za muziki au star search wanashawishi wafuatiliaji kupiga kura mara nyingi wawezavyo ,hivi hii ndio namna bora ya kupata washindi,au ndio kibiashara zaidi kutengeneza mshiko.
kwa kweli hii sio njia bora ya kupata washindi kazi ile ni ya kitaaluma hivyo...