Steven Kanumba and John Mashaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Steven Kanumba and John Mashaka

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sikonge, Sep 10, 2009.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ujumbe kutoka kwa Michuzi. Analalama kuwa kuna watu ni kigeugeu cha kutupwa. Mashaka mwamshambulia kuwa anajifanya Koungea English tu na Kanumba sasa anachekwa kuwa hafahamu Kiingereza.

  Nyani, kweli Mashaka mfupi khaa, kama Chiluba vile na anajipamba si kawaida. Na ile miwani yake na Kipara kama cha R. Kelly, loohh.
  [​IMG]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hehehehehee...jamaa mfupi....I swear he's 5'3 max na kwenye hiyo picha kavaa viatu vyenye heel (kisigino) ambavyo vitakuwa vimemwongezea walai inchi moja...Lol
   
 3. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #3
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mmh, we Sikonge na NN ingekuwa vizuri sana tuka waona mlivyo maana kwa kuongoza kwa kuwakashifu wengine.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  watakuwa warefu hawa bwana!we CarthberthL niaje?unafanya gani bana?
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ukiwa unajishaua kuongea Kiingereza wakati wote is one extreme, ukiwa huji hata cha kuomba maji is another exterme.

  ndiyo maana mzee wa lingo siku nakuja with Dickensian diction, siku nyingine ova "Adili na Nduguze".Inabidi ku balance katikati halafu unacheza makaratee katika lugha kama Sensei Bomani.

  They say there is a thin line between love and hate, hell and the pearly gates, crazy and genius, zero and 360 degrees.

  Sometimes the remarkable feat is to walk that line.
   
 6. B

  Bob K Member

  #6
  Sep 10, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli lugha ni muhimu ila kumzodoa kanumba sio haki kwani humu katika wachangiajia wa jamii ni wangapia ambao mnaweza kuongea kiingereza fasaha? acheni mazingira yetu tuliyokulia ni ya lgha ya kisahili hivyo ni vyema tukaendelea kukienzi kiswahili kiingereza iwe ziada tatizo la wabongo wengi mtu akiongea kiingereza ndio mwamuona kasomasana wamaana sana na hata katika ofisi zetu nyingi kama unamwanao anajua kiingereza anaweza kupewa kazi ya maana hata kama kichwano bogasi kuweni waangalifu kiingereza sio ishu katika ulimwenmgu huuu madaktari wangapi wa kichina mmeshakutanaoa nao hawajui kiingereza sasa hoaja sio kanumba bali ni mfumu wa shule zetu waambieni wabadilishe kabisa mitalaa ya kiswahili iwe ya kiingereza lakini kuumbukeni huo utakuwa ni ukoloni tu
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wataka kuona urefu wangu, hamna taabu ila sura huoni.

  Kumbuka kuwa siye ni Ngosha na kupanda juu ni kama kazi..... Ahhh, urefu ni 185cm. Kidogo hizo?
   

  Attached Files:

  Last edited: Sep 11, 2009
 8. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Picha yako nzuri kweli
  JF kuna vituko...
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Kanumba hajafanya kosa. Tatizo ni kurudia kosa. Kama anataka kuitangaza Tanzania kama anavyosema basi ajifunze Kiingereza na akiweza aongeze na Kifaransa. Kwa mtu mwenye visenti vyake, atapata waalimu wazuri tu na kujifua vya kutosha. Kiingereza anaonekana anafahamu ila "hajiamini" na amekosa sehemu ya kufanya mazoezi ya kuongea Kiingereza. Kuna program na vitabu vya aina mbalimbali na waalimu kibao. Kuna cd unaweza kuwa unasikiliza wakati unaendesha gari ukiwa kwenye zile foleni za Dar. Ukishindwa basi ni wewe umetaka.
  Kaza buti kijana wetu, hawa wanaosema "ni kawaida na usijali kushidnwa kuongea" ni walewale wanaoweka methali za kivivu kama "Kilichouwa kazi na chenyewe kazi, haraka haraka haina baraka nk" na mwisho humalizia kwa msemo "Mapenzi ya Mungu."
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Semilong,

  Hiyo ni picha yangu kweli. Ila nimepulizia rangi usoni kwa makusudi ili kuficha sura yangu. Kijana alitaka kuona urefu wangu na nimemtumia picha aone mwenyewe na sikutaka kuonyesha sura, kwa makusudi nimepulizia rangi kwenye photoshop.
   
 11. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #11
  Sep 11, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Acheni kuchanganya mambo. Ninapokuwa na wabongo wenzangu, namwaga sana kiswahili, nikienda pale uyui huwa nachanganya hata na kinyamwezi, lakini nikiwa kwa Obama kibaruani ninamwaga kimombo tu; kwa hiyo inategemea na jinsi unavyooanisha mazingira na lugha.
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Ukifika Uyui isikose kufika na kumsalimia baba mdogo, ambaye zamani alikuwa bwana Shamba, nafikiri sasa kastaafu nan anakwenda kwa jina la Mwana Kisiwa (Mwana Kisiva). Sijawahi kufika huko maana alihamia ila itabidi kujipanga na kwenda na siku hizi mabasi ni kila sehemu. Ukiwa Tabora kuna mabasi hadi ya Bujumbura. Loohh....

  Kijana wetu Kanumba yeye asikae na kulialia. Nakumbuka mwana JF mmoja na kama sikosei Masanja alisema "ukipigwa ngwala ukaanguka, si kosa lako. Ukiendelea kulala hapo ardhini ni kosa lako". Yeye ajisomeshe tu kwani hakuna HASARA ya kufahamu Kiingereza. Ila faida ya kufahamu Kiingereza zinaweza kuwepo nyingi tu.
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Sep 11, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nikienda tena nitamtafuta mzee wako. Huenda nikaenda huko nhobola tena mwezi Decemba; nilitoka huko kama miezi miwili tu iliyopita. Ndugu yetu Kanumba ajue kuwa kwa vile ameshafikia kwenye uwanja mpana, lazima pia apanue uwanja wake wa lugha. Kwetu sisi kiingereza ni lugha yetu ya pili ya taifa, kwa hiyo tuna lazima kuifahamau labda kama tuna shule ndogo. Ndiyo maana sheria zetu zote zinaandikwa kwa kiingereza. Tusitake visingizio vya kujifananisha na watu kama wachina ambao kiingereza siyo lugha yao ya taifa na shule zao zote wanasoma kwa kutumia lugha yao.
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  sio kila ngosha ni tall, kuna wengine vijeba haswa wale wakutoka Shinyanga.
   
 15. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Una uhakika? Cheyo, Chenge,Bob Makani Je!!!!
   
 16. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  sina uhakika kama anawajua vizuri akina Ngosha,si unaona mwenyewe 185cm si haba! Huwezi kulinganisha na John Mashaka lol!
   
 17. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Geoff ningefurahi kama ungenipa procedure za ku-insert picha humu ndani ya jamii forum coz nimejaribu ila nimeshindwa! Thanks
   
 18. GP

  GP JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kumbe we bitoz!!, bonge moja la watch, una mnyama mkali chini, asee!! [​IMG]
   
 19. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Huu mjadala wa Kanumba nimeufuatilia naona somewhere we miss the point.

  Kitu ambacho Kanumba na washabiki wake inabidi wajue..ni kwamba Kanumba ni celebrity kwa TZ yetu..kwa hiyo lolote atakalolifanya watu wataliangalia na kulichambua. Kanumba siyo kama Masanja au ndgu yangu Sikonge....hapa...He must know..umaarufu una gharama zake. na gharama mojawapo ni kuchambuliwa kwa kina. So lazima hiyo hali aizoee kwa sana.

  kuhusu kiingereza mimi sijui jamaa elimu yake imesimama wapi. Lakini kamaa alivyosema muungwana Sikonge, huyu kijana aichukulie hii kama changamoto AJIFUNZE ZAIDI kiingereza. Fani yake ambayo ameichagua ni ya kuongea. Sasa ni uamuzi wake....kazi zake azifanye kwa kiswahili tuu au kwa kiingereza. Na kwa mazingira ya Tz, tena alithibitisha mwenyewe kwamba akiongea kiswahili kazi zake hazitauzika..basi aweke bidii ajifunze kiingereza.

  Ushauri wangu: Aende pale pale British Council wanakotoka waingereza wenyewe.., achukue hata program ya jioni..otherwise..asifikirie kwamba watanzania watamuonea huruma waache kumsema..as long as yeye ndo anadominate TV na magazeti ya burudani. Na kwa upande wangu sioni tatizo na wanao"mcheka" jamaa hata kama wao hawakijui kiingereza kuliko yeye. They guy is the star ama superstar kama asemavyo michuzi..sasa ni lazima ajue kwamba kuna gharama ya kulipia! umaarufu hauiji hivi hivi.

  Aache kulia lia..aichukue hii kama changamoto..infact ingebidi hata elimu yake aiongeze..ikibidi aende hata chuo cha film majuu...Ima sure he will be better Kanumba than he is now...asitake treatment the same kama MASANJA.

  Masanja,
   
 20. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umeongea la maana mkuu
   
Loading...