kura tuzo za muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kura tuzo za muziki

Discussion in 'Entertainment' started by JAYJAY, Sep 10, 2009.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,493
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  mara nyingi waandaaji tuzo za muziki au star search wanashawishi wafuatiliaji kupiga kura mara nyingi wawezavyo ,hivi hii ndio namna bora ya kupata washindi,au ndio kibiashara zaidi kutengeneza mshiko.
   
 2. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,493
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  mara nyingi waandaaji tuzo za muziki au star search wanashawishi wafuatiliaji kupiga kura mara nyingi wawezavyo ,hivi hii ndio namna bora ya kupata washindi,au ndio kibiashara zaidi kutengeneza mshiko.
   
 3. a

  amhaule Member

  #3
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kimsingi waandaji wa star search ni ajira kwao
   
 4. B

  Bob K Member

  #4
  Sep 10, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAYJAY;579380]mara nyingi waandaaji tuzo za muziki au star search wanashawishi wafuatiliaji kupiga kura mara nyingi wawezavyo ,hivi hii ndio namna bora ya kupata washindi,au ndio kibiashara zaidi kutengeneza mshiko.
  kwa kweli hii sio njia bora ya kupata washindi kazi ile ni ya kitaaluma hivyo ni vyema majaji wenye ufahamu na muziki ule wakatoa mshindi,ukishirikisha kura kila mmoja ana mapenzi yake lakini kwa kuwa ni biashara lazima wafanye hivyo na ndio maana mwaka jana tukaambiwa misoji ndiye mshindi wakati mtu mwenye uwezo wa kuimba na kupiga gitaa tena kwa nyimbo zake akashindwa hayo ndiyo matatizo ya kupiga kura na hata katika tuzo za kora mambo ni hayo hayo na ndio maaana tuzo za kora haziwezi kuwa na heshima kama zile za american music awards ambazo msingi wake ni mauzo tu.
   
Loading...