Malyamungu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 363
- 12
This is the longest paragraph I have ever read....................
Siwezi kuisoma sina muda.
This is the longest paragraph I have ever read....................
GT acha kupotosha jamii wille edward hakufukuzwa majira aliacha akaenda ZK na wala hakuwa misheni town, kweli usilolijua ni usiku wa gizammoja wa directors wa jambo leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD MWAIKENDA ,mwaikenda- hawa wote wamefukuzwa gazeti la majira na sasa richard mwaikenda ndio mpiga picha wa Gazeti la JAMBO LEO.
Zaidi tuu kuhusu huyu BENNY KISAKA ni kuwa toka miss tanzania imeanza mwaka 1994 yeye amepewa uwakilishi wa kitongoji cha temeke yaani HASHIM LUNDENGA kashindwa kumuani kusimamia ngazi ya mkoa licha ya kuwepo toka 1994Lundenga mwenyewe anasema jamaa hana ubunifu!
Haya mhariri mkuu wa gazeti la JAMBO LEO ni BONIFACE WAMBURA huyu alikuwa akiandikia michezo gazeti la majira akatimuliwa kwa tabia zake za ufisadi.
Na kaimu mhariri wa habari ni EDSON KAMUKARA aliyemaliza nyegezi miezi sita iliyopita hana uzoefu na hajui kazi…aliandaliwa interview na jamaa wa pale BOT akaingia mitini watu BOT walimsubiri weee mpaka!
Mhariri wa makala JOACHIM MUSHI ambaye ni binamu yake kisaka nae hana uzoefu wa kazi wala elimu, mhariri wa michezo WILLY EDWARD alifukuzwa gazeti la majira kwa sababu ya wizi akawa misheni town kwa muda mrefu.
By the way mpiga picha RICHARD MWAIKENDA ndiye aliyekuwa bosi wa benny kisaka majira kabla hawajafukuzwa wote. kwenye michezo kuna EDWARD KUMWEMBE huyu naye kafukuzwa habari corporation kwa kutokujua maadili ya kazi na kuheshimu mkataba wa kazi alikuwa habari corporation halafu anaandikia magazeti mengine ya mitaani. RUHIGO akamtimulia mbali.
swali gazeti hili la kila siku limasheheni waaandishi ambao wamefukuzwa kwenye vyombo vingine na limeshindwa kuchukua wataalam wa habari,wameshindwa kujifunza kwa mbowe wakati anaanzisha tanzania daima alichukua watu toka kona mbali mbali ili kupata flavour….
Sasa kichekesho ni mwenye Gazeti hili mwenyewe jina lake halipo hata sehemu moja na kijana ambaye ni msomi tuu lakini cha ajabu huyu bwana hapo chini ndiye anamweka front kumfanyia mambo yake…kwa madai kuwa washajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kwa mtazamo kuwa hili gazeti litakuwa leading daily paper in Tanzania within 6 months
Meneja Masoko wa bodi ya Utalii Tanzania Geofrey Meena kushoto akiwa na Juma Pinto mtanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuutangaza utalii waTanzania nchini uingereza
sasa utamu zaidi ni kuwa huyu bwana katajwa kwenye kashfa ya UFISADI wa wizara ya utalii.
hehe hehe hiyo itakuwa aliipata kwa heshima ya *** yakeridhwani masters imemshinda hull na wakati kila kitu kimelipiwa
sijui hiyo degree aliipataje
Hili ndio tatizo la Mtanzania,mwenzako anaanzisha kitu kwa faida ya watanzania wewe unaanza kumpekua badala ya kumpongeza,ni upotofu wa akili ati kumchambua mtu hata kwenye spelling,this is not fair at all!,kwani unasahihisha mitihani hiyo?.mmoja wa directors wa jambo leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD MWAIKENDA ,mwaikenda- hawa wote wamefukuzwa gazeti la majira na sasa richard mwaikenda ndio mpiga picha wa Gazeti la JAMBO LEO.
Zaidi tuu kuhusu huyu BENNY KISAKA ni kuwa toka miss tanzania imeanza mwaka 1994 yeye amepewa uwakilishi wa kitongoji cha temeke yaani HASHIM LUNDENGA kashindwa kumuani kusimamia ngazi ya mkoa licha ya kuwepo toka 1994Lundenga mwenyewe anasema jamaa hana ubunifu!
Haya mhariri mkuu wa gazeti la JAMBO LEO ni BONIFACE WAMBURA huyu alikuwa akiandikia michezo gazeti la majira akatimuliwa kwa tabia zake za ufisadi.
Na kaimu mhariri wa habari ni EDSON KAMUKARA aliyemaliza nyegezi miezi sita iliyopita hana uzoefu na hajui kazi…aliandaliwa interview na jamaa wa pale BOT akaingia mitini watu BOT walimsubiri weee mpaka!
Mhariri wa makala JOACHIM MUSHI ambaye ni binamu yake kisaka nae hana uzoefu wa kazi wala elimu, mhariri wa michezo WILLY EDWARD alifukuzwa gazeti la majira kwa sababu ya wizi akawa misheni town kwa muda mrefu.
By the way mpiga picha RICHARD MWAIKENDA ndiye aliyekuwa bosi wa benny kisaka majira kabla hawajafukuzwa wote. kwenye michezo kuna EDWARD KUMWEMBE huyu naye kafukuzwa habari corporation kwa kutokujua maadili ya kazi na kuheshimu mkataba wa kazi alikuwa habari corporation halafu anaandikia magazeti mengine ya mitaani. RUHIGO akamtimulia mbali.
swali gazeti hili la kila siku limasheheni waaandishi ambao wamefukuzwa kwenye vyombo vingine na limeshindwa kuchukua wataalam wa habari,wameshindwa kujifunza kwa mbowe wakati anaanzisha tanzania daima alichukua watu toka kona mbali mbali ili kupata flavour….
Sasa kichekesho ni mwenye Gazeti hili mwenyewe jina lake halipo hata sehemu moja na kijana ambaye ni msomi tuu lakini cha ajabu huyu bwana hapo chini ndiye anamweka front kumfanyia mambo yake…kwa madai kuwa washajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kwa mtazamo kuwa hili gazeti litakuwa leading daily paper in Tanzania within 6 months
Meneja Masoko wa bodi ya Utalii Tanzania Geofrey Meena kushoto akiwa na Juma Pinto mtanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuutangaza utalii waTanzania nchini uingereza
sasa utamu zaidi ni kuwa huyu bwana katajwa kwenye kashfa ya UFISADI wa wizara ya utalii.
Hili ndio tatizo la baadhi ya watanzania na hasa ambao ustaarabu kwao ziro!,maendeleo ya wenzao kwao shida,hii ni hatari sana!!.
Elimu ya darasani haina maana ndio kuukata katika maisha!!!.
Mzee Punch wala usikonde,natural selection itayapruni tu haya magazeti na yatabaki magazeti quality tu,just give it time.Kumbuka Watanzania wanaonunua magazeti sio wajinga na wala sio kwamba hawajali matumizi ya pesa zao. Ukifuatilia kwa makini utakuta miaka mitatu minne iliyopita wale waliokuwa wananunua magazeti manane hadi kumi kila siku leo hii wamekuwa selective labda wananunua manne matano,itaenda hivyo hadi watu walio wengi watakuwa wananunua labda kwa siku magazeti mawili matatu. Angalia Kenya,kuna watu wengi tu kwa siku wananunua gazeti moja aidha Nation au Standard,ipe muda tu wakati huo utafika na si mbali sana.Hivyo utitiri wa wamiliki wa magazeti usikutishe utapungua wenyewe na wala hii haiitaji sheria ya habari kuwapunguza au kuwanyima usajili,we waache tu maana wahenga walisema'mbwa kabla hajaungua mkia hatoki jikoni' we waache waingie tu kwenye soko pole pole mifuko yao ikitoboka wataupwaka tu wenyewe.Haya magazeti sasa yamekuwa mengi mno. Kwa nini serikali yetu inaruhusu usajili wa magazeti mengi kiasi hiki. Magazeti mengine hayana mbele wala nyuma.
then tunalalamika ohhh waswahili wa Pwani tunaachwa...of course mijitu ya bara shurti ituache ati! kama tunaanzisha gazeti halafu tunawapa nafazi nzito watu wa Darasa la saba then something is wrong with us na si conspiracy
NIMEKOMA!!!!!,But BIG up gazeti la Jambo LeoHuwezi kujaza waandishi wote waliofukuzwa.
pia hapa Ridhwan kaingiaje? naona unajipendekeza kwa Ridhwan. na itakuwa maajabu ya Dunia kama Ridhwan atakuwa na business partner kama huyu BENNY KISAKA msomi wa darasa la Tatu.
Gazeti hili ni mradi wa BLANDINA NYONI sio Ridhwan, huyu mama alipkuwa katibu mkuu MALIASILI ndiye aliye injinia mambo haya.
Juma Pinto ni mkatoliki?waandishi ni wakatoliki watupu au ndio kampeni ya kanisa 2010
waandishi ni wakatoliki watupu au ndio kampeni ya kanisa 2010
GT respect mkuu.
Nitaungana nawe endapo usemayo ni kweli. ila nadhani pia inawezekana kuna kitu ambacho owner amekiona kwa aliowaajiri ambacho ni tija au ufanisi wa kazi. Inawezekana mtu akawa ametimuliwa mahala kwa kuwa hakubaliki au kukubaliana na mwenendo na mazingira ya pale alipokuwepo lakini ni mchapa kazi hodari tu. Ila baadhi ya majina uliyoyataja ktk post yako nakubaliana nawe kwamba ni wababaishaji tu. Lakini nadhani pia wanachukua advantage ya kuwa jirani na PINTO ambaye amekuwa nje muda mrefu akisoma na kufanya shughuli zake. Na kibaya zaidi ambacho nakiona pale ni kwamba wengi wa wanahabari pale ambao wanaripoti au kusimamia hard news ni wanahabari wabobezi wa habari za michezo. Mhariri ni mtu wa michezo sijawahi kuona analisisi zake za kijamii ahsa ulimwengu wa siasa.
Upande nakubaliana nawe na upande nadoubt kwani si wote ila baadhi ya uliowataja wana rekodi nzuri ya kazi.
PINTO FANYA RESHUFLE ili upate kinachohitajika ktk kulikuza gazeti. Umaarufu wa mtu hauleti tija ila utendaji wa kujituma na ubuniofu ndicho kigezo cha maendeleo na kupanda kibiashara.
majibu yako kwenye thread nyingine ipo kwenye siasa..ukienda utaiona
sasa umeamua kuwa mhariri hizo ndizo hoja uzobakinazopinto njoo kwa style nyingine hii style yako ya e-mail chelsea iko pale pale
sasa hata kuweka spacing tatizo kwenu? But then again hawa ndio watu wa jambo leo
by the way ni riz khan na siyo lizi khan....na hayupo cnn yupo al jazeera huu mwaka wa tatu na
halafu hawa ndio washauri wa ridhwani
bogus kabisa...mara nyngi watu wanakujudge kwa rafiki na kundi unaloji associate nao
then tunalalamika ohhh waswahili wa pwani tunaachwa...of course mijitu ya bara shurti ituache ati! Kama tunaanzisha gazeti halafu tunawapa nafazi nzito watu wa darasa la saba then something is wrong with us na si conspiracy