Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Sasa JM ndio nini? Si uliandike tu jina lote? You already know I ain't never scarred.....
julius maghembe
Sasa JM ndio nini? Si uliandike tu jina lote? You already know I ain't never scarred.....
AT LAST umeamua kubadili na kujiita julius.kudos bro!vp umeona jamvini kuna so many Ngabus,yah?
NB,mazee wanasema jina lako ni J.M?KWELI?
julius maghembe
ok,since you hv decided to display u rself(9robably unafuata nyayo za J.M wa kwa michuzi),rusha pic yako tuprove you are not as short as himJulius Magembe bana....sio Maghembe
ok,since you hv decided to display u rself(9robably unafuata nyayo za J.M wa kwa michuzi),rusha pic yako tuprove you are not as short as him
nawaogopa mkuu wangu!tuyamalize,watakuja wenyewe wakipitia hapa.wana vimbelembele sana.ila umewamaliza safari hii.............U prove nini sasa? Si waulize tu hao wanaonijua uliodai wanasemaga mimi jina langu ni JM....
Kheeeee heeeeee heee!julius maghembe
Kheeeee heeeeee heee!
Safi sana
Your esteemed and well refined views find the greatest of understanding from my person. Naelewa challenge iliyopo mbele yetu kama ulivyoileta, naomba na wewe uelewe position yangu kama nilivyoileta despite my less refined presentation.
Cha kufanya hapa ni kuishinikiza serikali ili watanzania walio nje ya nchi waweze kupiga kura.Wanapiga kura Wa-Iran despite their country's iron grip (Iran filters it's internet access, tanzania does not).
Tukiruhusiwa kupiga kura hizi habari za watu wa nje hawa participate katika demokrasia kama inavyotakikana zitamalizwa.
Hizo resources zinataka either uwe na mtaji, au uje bongo na kuukumbatia ufisadi.Otherwise utaleta biashara za "asikilimu".Hatutaki kuukumbatia ufisadi ndiyo maana tunatafuta hiyo mitaji ili tukirudi turudi sio tu na jeuri ya kukataa kucheza ngoma ya ufisadi, bali pia kuweza kuwasha moto utakaounguza ukoma huu.
Inawezekana nikirudi nyumbani sasa hivi baada ya muda mfupi hata internet nisiweze ku afford, na swala la kwamba mawazo yangu yanaweza kusaidia likazidi kwenda mrama kwa sababu at least leo nimeweza kuweka pressure watu wa African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania Chapter waweke uozo wa nchi yetu - waliokuwa wanaubania - wauweke online tuuone.Hatimaye wameweka.Kwa hiyo mchango unatolewa tu hata kama upo nje, ili mradi nia iwepo.
Na kuna watu kibao wako bongo hawana hata muda wa kuangalia documents kama hizi au kufuatilia maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Inawezekana ningekuwa nyumbani ningekuwa nacheza na vibatari saa hizi lol.
Bottom line mchango popote, even on some Tibetan slopes on the way from Lhasa.It's a flat world out here.
Mtanganyika!Kama kweli JK anataka kusikia kero za Watanzania kwanini asifanye townhall meeting? Kwa dar afanye mkutano Kinondoni, Temeke and Ilala watu wamuulize maswali kwa kuchagua moja kwa moja.
Then kama azunguke hata mikoa mitano au sita, kuliko huu upuuzi wa maswali ya kwenye TV. Unadhani bibi yangu pale Kongei, Lushoto ameona JK alichozungumza kwenye TV? Kwanza hata umeme hana. Jee % ngapi ya Watanzania wana access ya TV?
Aliyetoa hii idea ya TV lazima atakuwa ni mmoja wa wana mtandao wenzie. This is total insane.
JK jana alijitahidi sana kujibu kile alichoulizwa na sishangai tiyari alikuwa anajua mchezo utachezwa vipi tena waliutumia kwa umakini mkubwa, kwa hilo amejitahidi. Kizuri kisifie.
Pia hata Tido alijitahidi vya kutosha kuendesha hicho kipindi isionekane ni kupiga siasa za CCM. Hasa alivyomuuliza kuhusu Spika, kwani alikuwa anarusha rusha maneno.
Ila nilishangaa alivyoelezea kuwa wajumbe wa NEC walifikia kutamka maneno makali! nadhani hapo moja kwa moja alionyesha kutokusimamia vizuri hicho kikao akiwa Mwenyekiti kama tunavyosikia kwenye magazeti.
Pia kuhusu chama kugawanyika, kwakweli alijiumauma kwani jibu analo ni kuwaondoa mafisadi ndani ya chama lakini anakwepa kwepa kuwa kamati iliyoundwa itaweka sawa haya mambo, sitegemei kama wapambanaji na mafisadi kwa sasa kama wanaweza kukaa meza moja!
Acha tuwape muda aliimba Mpoki!