Guninita sasa ni 'fomu wani'

Magezi

All is good lkn kauli zako zipunguze ukali hasa hiyo ya kumshuku Mkuu wa Nchi kuwa huenda HANA akili timamu!

Tunaweza kum-challenge Mkuu wa nchi bila lugha zisizofaa;maana kama yeye anashukiwa kuwa HANA akili basi ina maana kuwa WATZ millions waliompa kura wao ndiyo wendawazimu kabisa?

sas mkuu kama hana akili watu wasisema?..........nimeangalia mahojiano yake na Mhando sikukiona anachoongecha maana bora hata muigizaji Kanumba.....lol
 
Nahisi hii habari sio kweli.

Ila nijuavyo viongozi wengi CCM hasa wilayani na ngazi za chini wana shule mbovu MNOOOO!

Ukienda msomi zengwe utalopigwa utachoka mwenyewe!!
 
Nenda kwenye website ya BUNGE. Kasema ana Masters

Nilikua namaanisha wewe unajua wapi pa kupata source ya uhakika... Kidding mkuu.
Nimeona kuna post nyingi humu ndani zimezungumzia kuhusu shule yake tatizo watu wana question ni kwa namna gani ambavyo hatuoni wapi alipopita high school mpaka kufikia kupata elimu hiyo ya juu.Na members wengine wakahoji jamaa ni genious kiasi gani kusoma online kuanzia digrii ya kwanza mpaka mwisho
 
kwa sasa huyu jamaa inabidi afukuzwe kazi ya ukuu wa wilaya nijuavyo mimi kwa utaratibu mpay wa serikali bila kidato cha nne ajira hupati na kwa wale wafanyakazi ambao walikuwa na elimu yadarasa la saba waliambiwa wakajiendleze la sivyo nafasizao itafika wakati zitachuliwa na vijana wasomi hastahili kuendlea kuwa mkuu wa wilaya aachie ngazi mpaka atakapohitimu elimu yasekondarii
 
wenzio wameenda wakiwa na miaka mitatu!

haHAHAHAH mzee Kaizer nakudai glass ya mvinyo wangu! Tinto Rioja.....nimecheka sana imemwagika!!......kuna wale wengine wamezaliwa majuu.....! Kuna watu watupu sana hapa JF! cha muhimu ni kuvumiliana tu....! na kuja na miaka mitatu nayenyewe ni issue! Duuu
 
Nyie wasomi kwanini hamtaki kujiunga na siasa? Huwezi ku-win bahati nasibu bila kucheza mchezo wenyewe.

Kama una bachelor, masters, Phd or THD, good for you. Lakini kama haupo kwenye siasa, vyeo vya kisiasa waachieni wanasiasa.
 
Sidhani kama Guninita ana akili ya kutosha kuelewa Trigonometry, Algebra, na Calculus.

Kaka, Calculus haifundishwi kidato cha kwanza hadi cha nne, ah, kadri ninavyoelewa, labda ikiwa atafanya additional maths. Sasa haya wapi na wapi na kihiyo anayetafuta tu apewe jina la amesoma.
 
Magezi

All is good lkn kauli zako zipunguze ukali hasa hiyo ya kumshuku Mkuu wa Nchi kuwa huenda HANA akili timamu!

Tunaweza kum-challenge Mkuu wa nchi bila lugha zisizofaa;maana kama yeye anashukiwa kuwa HANA akili basi ina maana kuwa WATZ millions waliompa kura wao ndiyo wendawazimu kabisa?

Usitishe watu wewe!!!!!!!!! Watanzania sio wendawazimu na pia si ajabu mtu kumdhania mtu mwingine kuwa yawezekana hana akili na uchaguzi una mambo mengi ambayo yanaweza mfanya hata mtu asiyefaa akajikuta amekuwa kiongozi kama Guninita na wengine.
 
Magezi

All is good lkn kauli zako zipunguze ukali hasa hiyo ya kumshuku Mkuu wa Nchi kuwa huenda HANA akili timamu!

Tunaweza kum-challenge Mkuu wa nchi bila lugha zisizofaa;maana kama yeye anashukiwa kuwa HANA akili basi ina maana kuwa WATZ millions waliompa kura wao ndiyo wendawazimu kabisa?

Nimesema ana matatizo ya akili, sija sema hana akili timamu, hayo wasema wewe. Lakini ukweli tunauona.
 
Mbona nasikia ana Masters Jamani?

Hayo ndiyo anayoyasema. Lakini niliwahi kuambiwa na mshikaji kuwa jamaa alikuwa kwenye migodi ya dhahabu kisha akatoweka kwa muda mrefu hivi. Alivyorudi alishapata Masters and kubadili jina pia. Ila nasikia kuwa ni dizaini ya Guninita kwa viwango vya madarasa!
 
Anyone knows education level of Mzee Yusufu Mkamba please?


Nitashukuru pia kama kuna mtu anafahamu level ya elimu ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga; kwani huyu ananunuliwa sana na Mafisadi na wanamtumia kama mouthpiece yao kwenye NEC ya CCM. Naamini kabisa mtu mwenye elimu ya kiwango cha kuridhisha hawezi kuwa kibaraka kama huyu bwana!
 
Back
Top Bottom