Recent content by black person

  1. black person

    JamiiForums Tanzania Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    Funga kifaa kinaitwa non-return valve,nunua zile wanaita za kengele sio ya spring,bei kati ya 20k hadi 35k kutegemea na eneo ulipo
  2. black person

    JamiiForums Tanzania Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Budget ikiruhusu nunua diesel engine funga na pump zile za kuzungushwa na hyo engine
  3. black person

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya bodaboda ‘za mkataba’

    Umekosea hesabu rudia tena.
  4. black person

    JamiiForums Tanzania Samsung wasipoiga design ya iphone 12 basi apple wamepunguza wafuasi

    Kuna tofauti kati ya Samsung kitengo Cha Display na Samsung kitengo cha Simu.
  5. black person

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wakamatwa na vilipuzi wakiviingiza Kenya kimagendo

    “Upon being interviewed, the driver claimed the detonators were handed over to him at Taveta town to be delivered to the owner at Mwatate,” KRA said in the statement Mi naomba kujulishwa Taveta iko mkoa gani Tanzania? Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
  6. black person

    JamiiForums Tanzania Wajenzi tushirikishane jambo katika ujenzi wa nyumba kipindi hiki

    Single room milion 8?????hebu tupe mchanganuo
  7. black person

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

    Samahani mkuu mbona Pasi ya kusafiria ni zile za zamani? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. black person

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

    Hata mimi nmeona imebidi nicheke tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. black person

    JamiiForums Tanzania Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Jamaa alikuwa anaitwa Kivuli wimbo Bifu na Jakaya....Best diss song off all time Sent using Jamii Forums mobile app
  10. black person

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hakuna timu iliyosubmit reasonable bid. Hata mi nlitaman aondoke ila sio kwa bei rahisi....Ndio mchezaji pekee creative tulio nae kwenye timu pamoja kwamba ana ukike mwingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. black person

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Android na Apple App developer

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama kuna developer au mtu anayeweza kunipa mawasiliano na developers wa Android na Apple Applications naomba tuwasiliane tafadhali. Nadhani mawasialiano hapa itakuwa vizuri zaidi kuliko Pm ili kusaidia na wengine wenye uhitaji. Natanguliza shukrani. Sent...
  12. black person

    JamiiForums Tanzania Ipi bora zaidi kati ya Kitochi 4G Smart ya Tigo au Vodacom

    Ndio huwezi.... WhatsApp yake ni Basic tu
  13. black person

    JamiiForums Tanzania Namna ya kusafisha pasi yako

    Kama panadol imegoma sugua na mkaa..
  14. black person

    JamiiForums Tanzania MOURINHO ADAI HAMJUI SARRI KOCHA WA CHELSEA.HII KALI SANA

    Alisema hamjui akimaanisha hajawahi kukutana nae kwenye mechi, lugha hizi tabu sana.
Back
Top Bottom