Nahitaji Android na Apple App developer

black person

Senior Member
Nov 20, 2014
129
90
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama kuna developer au mtu anayeweza kunipa mawasiliano na developers wa Android na Apple Applications naomba tuwasiliane tafadhali.

Nadhani mawasialiano hapa itakuwa vizuri zaidi kuliko Pm ili kusaidia na wengine wenye uhitaji.
Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Android developer na ios ncheck:
phone:+255752473580
email:michaelmussa9@gmail.com
 
Back
Top Bottom