Samsung wasipoiga design ya iphone 12 basi apple wamepunguza wafuasi

mleta uzi umepuyanga...
.
hao Apple ndo mabingwa wa kuiga miundo ya sim za wengine mfano mkubwa ni macho matatu waliiga kuoka kwa huawei mate 20 pro, ukiangalia mate 20pro imetoka 2018 afu iphone 11 imetok 2019.
.
pia kwa ishu ya tyle wa kioo waliga kwa huawei p20 bro. fanya uchunguzi kbla ya kuleta uzi...

Huawei ndiyo bekitatu wa samasung au lg? Simjui
 
Apple kanunua display kwa samsung za iphone x tu napo zilikua na quality kuliko hata za samsung oled lakn sahv ameamua kutoa za kwake super retina xdr
Nilikua sijui ndugu yangu. Kwahiyo hawa wakina samsung wamekua wafuasi kabka ya kumuuzia vifaa au baada ya yeye kuamua kutengeneza vya kwake?
 
Apple siku zote ndiyo wamekua wakitoa muongozo wa design za smartphones zote duniani kuanzia muonekano wa kasha hadi camera na kioo.

Sasa iphone wametoa toleo jipya la iphone 12 ambalo kimuonekano ni kama limerudi kwenye iphone 5 ya boksi boksi.

Sasa apple kwa mabadiliko haya ya shepu ya iphone tunategemea wafuasi wake wote samsung, tecno, xiaomi, mi, lg etc wataiga kwa matoleo yao yajayo.

Basi kama itatokea samsung na wafuasi wenzake wa apple hawataiga muonekano mpya wa apple basi tutachukulia kuwa nguvu ya ushawishi ya apple kwa wafuasi wake imepungua sana.

Ila nna uhakika muda si mrefu tutaone wafuasi wa apple akina samsung na wenzake watakuja na matoleo yao mapya yenye muonekano wa boksi kama wa iphone 12 as soon as possible.View attachment 1604256
View attachment 1604258
Camera anayeigwa sana ni Sony. Vioo anayeigwa au kuwa supplier sana ni Samsung. Hakuna kampuni yoyote ya simu hununua kifaa kwa Apple kutengenezea simu yake. Lakini Apple hununua display kwa Samsung na camera accessories kwa Sony. Vitu vingine hununua kwa suppliers ambao si watengenezaji wa simu. Kasha gani la iPhone limeigwa?
Kwanza iPhone zina body materials za kawaida sana. Screen zenyewe waige kutoa curved
 
Huawei ndiyo bekitatu wa samasung au lg? Simjui
upo duniani kwel mkuu??
ivi unajua kampuni inayoongoza kuuza vifaa vya simi ni ipi??
ivi unajua miaka ya karibuni kabla ya huawei kuwekewa vikwazo na trup, huawei ilikuwa inamburuza iphone kwenye sokoni??
 
Nilikua sijui ndugu yangu. Kwahiyo hawa wakina samsung wamekua wafuasi kabka ya kumuuzia vifaa au baada ya yeye kuamua kutengeneza vya kwake?

Hzi campun hata sizielewi samsung 2018 kamuuzia iphone display apple za iphone x oled cha ajabu display za apple zilikua display kali kushinda hta hao samsung walomuuzia, sony wanatengeneza camera za iphone lakn iphone inashot picha kali kuliko hata sony. Ujue hawa jamaa hawapo serious.
 
Camera anayeigwa sana ni Sony. Vioo anayeigwa au kuwa supplier sana ni Samsung. Hakuna kampuni yoyote ya simu hununua kifaa kwa Apple kutengenezea simu yake. Lakini Apple hununua display kwa Samsung na camera accessories kwa Sony. Vitu vingine hununua kwa suppliers ambao si watengenezaji wa simu. Kasha gani la iPhone limeigwa?
Kwanza iPhone zina body materials za kawaida sana. Screen zenyewe waige kutoa curved

Kuhusu display Samsung kasupply za iphone x tu.. oled sahv apple wana display zao super retina xdr
 
Apple kanunua display kwa samsung za iphone x tu napo zilikua na quality kuliko hata za samsung oled lakn sahv ameamua kutoa za kwake super retina xdr
Kuna tofauti kati ya Samsung kitengo Cha Display na Samsung kitengo cha Simu.
IMG_20201019_104145.jpg
 
Samsung hajawahi order wala kukopi kitu kwa iPhone. Hata hii hatokopi chochote labda ukitaje wewe. Kama ni teknolojia ya Lidar kampuni zilizoitengeneza zinaiuza yeyote atanunua akitaka. Nasubiri iPhone aige simu fordable kwa Motorola na Samsung.

Kuna mtu amesema kwamba samsung ana order vitu kutoka apple?. Point ni kwamba apple ni mjanja hasa kwenye market hanaga uzembe hapa. Iphone imekuja na lider sasa subir uone Samsung kama haleti lider
 
Kuna mtu amesema kwamba samsung ana order vitu kutoka apple?. Point ni kwamba apple ni mjanja hasa kwenye market hanaga uzembe hapa. Iphone imekuja na lider sasa subir uone Samsung kama haleti lider
Heading ya uzi ni "Samsung wasipoiga design ya iPhone 12 basi Apple wamepunguza ushawishi"

Lider ni teknolojia ya watengeneza camera. Tesla, Volkswagen wanakuja na teknolojia kama hiyo ikiwa na jina lingine na kampuni zilizotengeneza Lidar zinauza products hiyo kwa jina lingine. iPhone aige fordable smartphone, yeye hana cha kuigwa kwenye components za simu.
 
Cha kushangaza display za apple ndo bora kuliko hata samsung wanazoweka kwenye cm zao
Sasa maana yake nini. Hizi display zimetengenezwa na Samsung kisha unasema "display za Apple ndo bora" wakati wamekuwa supplied. Display chini ya 120Hz huwezi kuiita bora.
 
Sasa maana yake nini. Hizi display zimetengenezwa na Samsung kisha unasema "display za Apple ndo bora" wakati wamekuwa supplied. Display chini ya 120Hz huwezi kuiita bora.

Mzee hv ukiuza shamba utabaki kusema lako??. Na iphone 12 hajaproduce displays ask me why
 
Back
Top Bottom