Recent content by beleza

  1. beleza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawifi chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Lkn kama mke wako ni mvivu au mchafu kweli kwa nn watu wasikuambie?kuna vengine vinauma wanavyofanya wake zetu na ukiangalia ata ww mume unaona ni kweli. Kwa nn usimuwache?tupo nayo tunaenda nayo ila yanauma .yamenikutaaaaaaa eeeeeeeee binafasi
  2. beleza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Polisi kamateni hata gari la Rais

    Vp mrembo umerejesha kadi ya kijani au nimapenzi yako tu kwa iyo kauli?hongera sana
  3. beleza

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Nahisi kuvutiwa na hii kazi sasa nipe jibu ni msingi wa kiasi gani kwa uzoefu wako naweza kuanzia iyo kazi?
  4. beleza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi to legalize Ukahaba

    Mk254 kuja kwa pande hii .jee ni kweli hii habari?
  5. beleza

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ninayo LG inch 48 used nataka 1 m.
  6. beleza

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

    Mhhh JECHA jee mbona haukuweka jina lake au unaogopa?hahaha
  7. beleza

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ya kidini?

    Hahaha duuuh ww jamaa umefunguka vizuri.yaaani umemaliza kila kitu
  8. beleza

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

    Ivi uyu pascal mayala kama kweli anajua hayo kwa nn kwanza asiwambie CCM ya upande wa zanzibar?ilikuwa wajaze fomu walalamike sio kufuta uchaguzi.P.M usiwe na akili uchwara kaka
  9. beleza

    JamiiForums Tanzania Masikini hakai siti ya mbele habadani

    Na vijana wengi wa sasa wanapenda kukaa nyuma.
  10. beleza

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza

    Kama ni kweli basi yupo juu kidunia.
  11. beleza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Zanzibar patamu, nimekua pale

    Karibu tena .eid mubaraq
  12. beleza

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

    Wale wa znz vp ukooo?au ndio bado hamjatangaziwa au hamjauona?
  13. beleza

    JamiiForums Tanzania Madini ya uranium naweza kupata wapi soko lake?

    Asante sana kwa ushauli wako.na nimekuelewa sana .kwa jinsi comment zilivyo nahisi tanzania haifai kuja nayo.asanteni sana wote kwa michango yenu.
  14. beleza

    JamiiForums Tanzania Madini ya uranium naweza kupata wapi soko lake?

    Kuna sehemu ya nchi jirani nimekutana na jamaa mmoja anauza madini kwa mzungu flani hivi baada ya kumdadisi kwa kina nikahisi ni Madini aina ya uranium sababu nilitaka anipe sample nione lakini akasema hawezi kuyafungua mpaka avae nguo zake maalum ndio afungue, ila katika maongezi yetu...
Back
Top Bottom