Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Hahahaaa,sijui siku ikifika ukikuta hali tofauti utajionaje! Hiyo ni imani ambayo by time watu wakuaminisha of which sio lazima iwe sawa!likewise dini nyingine!Kasome historia kabla ya kuja watwana asili za kiafrika walikua wanaabudu nini?na walikua wana amani sana! Km izi dini ndio njia sahihi jiulieze km una akili kwa nini wanauwana daily?kwa nn maovu ndio yamezidi kuliko zamani?ambapo dini zilikua haizifahamika km sasa? Think big alafu kua mpole
Sasa mkuu unazungumzia dini au tabia binafsi za watu? maana hata leo hizi mila na tamaduni za ajabu ajabu ambazo sote tunazipiga vita leo ni imani ambazo wazee wetu walikuwa wakiziamini na kuziheshimu,kwahiyo wakati unapozungumzia tabia za waumini wa hizi dini ambazo zinaitwa mpya pia kumbuka na hizo imani za mababu zetu afrika tunazozipinga sasa.
 
Unaweza kuweka takwimu au una comment tu kwa kusukumwa na chuki?
Sina chuki na waislamu! Mke wangu ni Muislamu pia, mashemeji zangu wote ni waislamu, marafiki zangu wengi ni waislamu.

Kamwe cjawahi kuwachukia , na sitokaa ni wachukie, maana sina sababu ya kufanya hivyo. Niliyooandika,ni ninayoyaona kila siku
 
1. WATU WEUSI.

Hawa ndio wanaongoza kwa kuchukiwa na kubaguliwa zaidi duniani. Wanateswa na kunyanyaswa kila sehemu walipo. Ulaya, Marekani, Australia Arabuni, Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali, na Marekani Kusini. Mbaya zaidi hata huku Africa bado tunaendelea kunyanyaswa na wageni wanaokuja kwa vigezo Vya uwekezaji. Hawa wanapora ardhi ya wanyonge

2. WAISLAM
Hili ni kundi linalofuatia kwa kuchukiwa. Sababu kuu ikiwa ni
propaganda za kimagharibi na dhana ya ugaidi.

3. WAYAHUDI

Hawa wanachukiwa zaidi na nchi za Kiarabu na mataifa ya Kiislam. Sababu kubwa hasa zikiwa ni za kihistoria na mgogoro wa Mashariki ya Kati.

WAYAHUDI pia wameshawahi kuteswa na utawala wa Ki Nazi chini ya Adolf Hitler . Sababu kubwa ilikuwa ni mafanikio ya kiuchumi waliyokuwa nayo WAYAHUDI nchini Ujerumani na Ulaya kwa ujumla.

4. WAARABU

Licha wa kuwa si wote ni magaidi, Bali wamekuwa wakihukumiwa kwa asili yao. Nchi nyingi zinawaogopa na hazina imani nao
[emoji2] [emoji2] [emoji2]...aiseee nmecheka htaa cjamalzia kusoma uzi wakoo...!!!
 
Weusi ni wachache waafrica wengi wana rangi ya brown cum chocolate
 
Kwa watu weusi nina mashaka kidogo! Hivi ile Timu ya Ufaransa ingekubali wamatumbi wengi namna ile!?..

Wamatumbi wanagonga mzigo tu! hawana thamani Zaidi ya uwezo wao wa kusakata kabumbu ndio maana wanarushiwa ndizi uwanjani.
 
Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
Yup
 
umemuweka nani mkuu unaemuamini kwenye hicho chanzo chako cha uhakika hadi umuulize chanzo beleave or not mtoa mada yupo sahih kabisa na hilo halifichiki we endelea kusubiri chanzo cha uhakika

Nina maana ya kuwa kama ni kutoka taasisi au vyombo rasimi basi inawezekana kuwa imefanyika research kuhusu hilo aliloliandika yeye na wakahitimisha hivyo....
Lakini kama ametoa hayo kwa utashi wake bila ya kufanya uchunguzi inawezekana akawa yeye ndiye mwenye chuki juu ya makundi hayo aliyoyataja........
 
Bujibuji the great, hebu ongezea na Wahindi, jamaa wanachukiwa na mataifa Mengi sana ila wanatumikishwa kwasababu ya uwezo wao wa akili na ubunifu na wako tayari kulipwa ujira kiduchu
 
Nina maana ya kuwa kama ni kutoka taasisi au vyombo rasimi basi inawezekana kuwa imefanyika research kuhusu hilo aliloliandika yeye na wakahitimisha hivyo....
Lakini kama ametoa hayo kwa utashi wake bila ya kufanya uchunguzi inawezekana akawa yeye ndiye mwenye chuki juu ya makundi hayo aliyoyataja........
Labda kafanya utafiti, mfuate pembemni myaongee
 
Bujibuji, habari za siku?
Hujasema kwa nini Waafrika wanabaguliwa na kuchukiwa duniani.

Kwa Wayahudi jumla ni kwamba wanaonewa "WIVU", kwa mafanikio yao.

Waislam, ni kwa sababu ya "UPUMBAVU WAO WA KUTOMJUA MUNGU NA KULAZIMISHA DUNIA NZIMA IWE YA MAPUMBAVU KAMA WAO NA UKATILI WAO WA KISHETANI". Yaangalie yatakavyokuja hapa kunishambuliwa kwa matusi na dhana ilie ile ya ugaidi wa kipumbavu! Subiri utaona!.

Rudi kwa Waafrika weusi, utoe maelezo kwa nini wanachukiwa.
hakuna mtu atakayekuchukia kwa maneno yako kuwa hatumjui mungu(7bu hujielewi) ila nakuchukia kwa kutuita wapumbavu
sasa huoni kama akili zako hazipo sawa
hakuna dini hata moja ulimwenguni inayoruhusiwa kutukana dini nyingne sasa wewe hayo mafundisho umeyapata kwa yesu gani ?

MTUME MUHAMMAD hakuwai kutufundisha kutukana dini yoyote
ila alifundisha uvumilivu kutoka kwa watu kama nyinyi
 
Labda tuweke list ya watu au jamii inayopendwa sana....pengine kwa kuzingatia upofu wa kimaadili huenda jamii ya wazungu na wakristu ikaibuka kidedea kwenye kumi pendwa!
 
Mhhh JECHA jee mbona haukuweka jina lake au unaogopa?hahaha
 
Angalia masupastaa wa bongo Kama akina Wema nao wanauchukia weusi! Ila kuchukiwa kunaleta maana unapojichukia mwenyewe
Mkubwa inaonekana bado haujajua maaana ya black,Obama na weupe wote ule lakini kwa marekani ni mweusi lakini kwa huku kwetu Obama ni mzungu,kitendo wanachofanya Dada zetu kwa kujichubua ni kutafuta light skin na si kuwaondolea u_black.
 
Mkubwa inaonekana bado haujajua maaana ya black,Obama na weupe wote ule lakini kwa marekani ni mweusi lakini kwa huku kwetu Obama ni mzungu,kitendo wanachofanya Dada zetu kwa kujichubua ni kutafuta light skin na si kuwaondolea u_black.
Obama siyo Black, bali ni mchotara mama yake ni Mzungu 100% aliitwa Ann Dunham kutoka Jimbo la Kansas, United States of America
 
Back
Top Bottom