Rais Magufuli: Polisi kamateni hata gari la Rais

Dhamira ya kupambana na rushwa ipo kweli? Lugumi, uniform....sasa hela ya brush viatu!! Ameshajua kuwa polisi ndio watamsaidia kutawala kwa mkono wa chuma! Ndio maana anawabeba sana!! Sio katiba wala demokrasia!! Ni polisi
Hivo hivo, anapopigia chapuo "hela ya kubrush viatu" ya trafik hatuwasikii waimbaji wa Wimbo wa "ni mtukufu ,ni mtukufu" mkinukuu hayo.

"Amlipaye mpuliza zumari,ndiye ........" - by unknown
 
Vp mrembo umerejesha kadi ya kijani au nimapenzi yako tu kwa iyo kauli?hongera sana

Sikurudisha kadi wakati wa dhiki na shida na foleni za chakula kila kukicha, ntarudisha leo? Mimi ni CCM wa asili, toka haijaundwa CCM nilikuwa TANU na wazee wangu walikuwa AA kabla ya TAA na Taa kabla ya TANU, mimi ni zao la Al Jamiatul Islamiya fi Tanganyika, hunitowi CCM.

Hiyo kauli ya CUF ndicho anachomaanisha Rais. Simply put.

Upinzani ulianzishwa ili kuwe na wigo na fikra pana na si kila la upinzani ni baya, halikadhalika kwa chama tawala.
 
Hivo hivo, anapopigia chapuo "hela ya kubrush viatu" ya trafik hatuwasikii waimbaji wa Wimbo wa "ni mtukufu ,ni mtukufu" mkinukuu hayo.

"Amlipaye mpuliza zumari,ndiye ........" - by unknown
Rais huwa "anachomekea" vibwagizo...ukitaka kujua kama yuko serious au la, ngoja uwekewe camera udakwe unachukua hiyo buku 5 uone kama atakupigia makofi au atakupiga makofi
 
Askari wa nyota moja hata akiwa anakunya akija wa nyota mbili akimwambia acha kunya, haruhusiwi hata kihoji kwanini, ni mikono nyuma na sawa mkuu, sasa leo akamate ili apandishwe cheo
 
Rais huwa "anachomekea" vibwagizo...ukitaka kujua kama yuko serious au la, ngoja uwekewe camera udakwe unachukua hiyo buku 5 uone kama atakupigia makofi au atakupiga makofi
Hatutegemei mizaha kwenye mambo mazito kama rushwa. Mizaha yao ndiyo mauti yetu.
Halafu,mbona hivi vibwagizo hatujavisikia kuhusu sakata la lugumi au nalo hadi tupate "kamera ya kulirekodi"? Vibwagizo hivi tumevisikia kwenye kubrashi viatu tuu ?.
Tanzania si Nchi ya vibwagizo,tukatae vibwagizo ,tukatae "Tanzania ya vibwagizo".
 
Siku hizi ujinga anageuzwa kuwa uelewa wenye hekima na busara.
Ni wapi huko ambapo "siku hizi ujinga anageuzwa kuwa uelewa wenye hekima na busara"?
Ujinga ni kama ndonda lililo kisogoni ambalo mwenyewe halioni na wala halikumbuki mpaka anapo toneswa na anapotaka kulala.
 
Waimbaji wimbo wa "ni Dikteta, ni Dikteta" hutawasikia wakinukuu haya. Hawatasema Dikteta anataka watu watendewe kwa mujibu wa sheria. It doesn't fit their twisted narrative.
Hata madikteta yapo wanayofanya ambayo ni mazuri kwa wengine,muuaji kuhudhuria mazishi ya aliyemuua haimuondolei ukweli kuwa ni muuaji.
Ni katika hoja tu mkuu.
 
Elfu 5000/ ya kubrushia viatu!!
Nikikamata gari 10 kwa siku na kupata 5000 kwa kila gari nitakuwa na 50,000/= kwa Sikh.
Kwa wiki nitakuwa na 350,000/= kwa mwezi nitajikusanyia kama 1050,000/=( millioni moja +)
Ama kweli viatu vyangu vitang' aa mwezi mzima!!!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom