snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,429
- 1,145
Habari \Forum,
Nina rafiki yangu mmoja huwa anatumia mafuta ya ndege(100LL) kwenye gari lake kwa kuchanganya 50/50 na petroli hii ya kawaida(unleaded) kwa muda sasa zaidi ya miaka mitatu,pia nimeshaona watu kadhaa hasa kwenye rally wakifanya huu mchezo.Je ina madhara kwenye engine?Nimeshajaribu mara chache na gari limekuwa likiperform vizuri tu bila shida yoyote...lakini naogopa kuendelea....pia nimepitia forums zingine kunusanusa,wao wanasema effect zake kubwa zipo kwenye oxygen sensors.Je kazi ya hizi oxygen sensors kazi yake haswa ni nini?
Pia wengine wanadai emmision za engine zinadhuru mazingira(Je hizo ndege haziharibu mazingira?na ni kwanini?
Inaongeza nguvu kweli au ni maneno tu!
Kuna rubani mmoja amewahi kuniambia kwamba amewahi kutumia corrolla ikiwa 100% AVGAS kutoka Soroti-Uganda mpaka taa ilipowaka ndio akaendelea na petroli ya kawaida...Je kuna mwenye uzoefu na hili atujuze?