mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,654
- 8,988
Wakuu heshima yenu awali ya yote ni mshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo sifa na heshima zimuendee yeye pekee, baada ya kusema hayo ningependa kujua kama sehemu hii ya jamhuri tukufu ya Tanzania inaongozwa au unajiendesha kwa misingi ya dini .
Nimeuliza hivi mana kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia jinsi shughuli za serikali ya mapinduzi na hata taasisi zake zinavojiendesha mfano ukiangalia ZBC na ZBC2 kuna vipindi vya dini ya upande mmoja tu na airtime yake ni ya kutosha je hao wakristo hawaruhusiwi kupeleka vipindi au imekaaje? Mnyazi Mungu awabarikini nyote