We endelea kumpenda ila moyo wako inabidi ukubali wewe kwasasa ni love security ya huyo msichana, huyo aliyenae mwanamke anampenda ila hajamuweka kwenye himaya yake kama alivyokuweka wewe ndio maana hataki kukupoteza ili akiachwa arudi kwako au siku bwana mpya akizingua anakua karibu nawewe kwa...
Dem anafanya kazi wewe upo chuo hilo tatizo la kwanza..,kalinganisha boom na mshahara wa mume mtarajiwa kaona hamna future nawewe kwani sahv hali ngumu unaweza kumaliza chuo usipate ajira uanze kuomba nauli..
Hawezi kukupendea kumtimizia kwani wote tunajua wanawake wanataka nini so inawezekana...
Inaungua kweli ndio maana inanuka kaka kawaida PC processor inazalisha joto sana hivyo imetengenezewa cooling system ambayo inakua na fan,paste na cooling pipe yenye helium gas ndani kama ya fredge
Huu mfumo usipofanya kazi vizuri au processor ikiover work joto linazidi kiwango that why unahisi...
Hakuna kitu kipya kwenye hayo mambo unapangwa ili uoe tu so usiumize kichwa na kama unampenda we mpende tu ila sio kwa kutegemea kuna vitu adimu unaweza kujikuta unakua disappointed na ndoa siku ya honeymoon
Nilidhani umeme wa Tanzania ulipaswa kuwa wa bei rahisi kama tulivyoahidiwa baada ya kupatikana gesi mtwara.,ila kama umeme wa maji tena ya mabwawa ya kuchimbwa na ukasafirishwa toka ethiopia mpaka tanzania ni rahisi kuliko wa mabwawa natural tuliyokuwa nayo na gesi pia basi inabidi tujitafakari...
Dah nahisi napoteza hamu na mitandao ya kijamii speed ya bashite imefungwa turbo ya Subaru na mkulu..,nikaona siasa hazina maana nimekuja huku jamaa anataka kuibiwa anajiona kapata zali hakuna iPhone 8 utapewa iPhone yenye Android mjini hapa we endelea kuuza maji...,
Hiyo ni sawa na kutengeneza filamu za ngono nchi za kiarabu ukauze nchi wanazoruhusu watakupiga mawe tu mkuu.,sheria ya madawa ya kulevya inakataza kushiriki kwa namna yoyote kuzalisha,kusambaza na kutumia
Naelewa ila huoni kama ni mtu alikua anasubiria timing ya kukimbia unless uniambie alikua na tabia mbaya mapema au ulimuoa kwa nguvu ya hela ila mapenzi upofu hukutaka kuona sometimes huwezi kupata ukweli wa jambo upande mmoja..,na solution ya tatizo sio kukimbia what if usafiri ukirudi...
Washauri ndugu zake wampeleke akaombewe huyo kwani binadamu mwenye akili timamu hawezi kufanya hayo unless mwanzo ulikua unamdharau analipa kisasi.,hatuwajui wanawake ndio ila out of the blue mtu unayemjua vizuri mpaka ukamuoa mkazaa hawezi change ghafla hivyo
Kama hili halipo kisiasa na pia kajenga kimakosa kwa kuhonga akapata kibali kwa mawazo yangu naona busara ingekua kutafuta wataalam wa kuzuia mto usije kuleta madhara endapo kutatokea mafuriko au mto kuongezeka kwa kumomonyoa kingo siku za usuni.na gharama ziende kwa mwenye hotel au serikali ila...
Tatizo ni wafanyakazi ajira zao sio za kulenga ufanisi ila ni ukipata nafasi umetoka..,kwa soko la sahv technolojia inabadilika haraka haraka sana hivyo kama hufanyi kazi kwa ufanisi unajikuta nyuma siku zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.