blessings
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 7,420
- 7,079
Haya makampuni, TANESCO & TTCL pamoja na kupata ruzuku kubwa ya serikali lakini ufanisi ni wa kusua sua, wanaishia kununua magari ya kifahari na kuyapiga rangi za ajabu ajabu (TTCL - Njano-Crazy Colour). La kusikitisha zaidi ni kuwa wana wakuu vijana lakini wana mawazo ya kizee mno (kama aliyekuwa Meya Ilala).
Iweje Kampuni kama HALOTEL waje juzi na wameweza kupenya kwenye telecom market ya Tanzania, halafu TTCL na ruzuku, miundo mbinu na wateja wa kuletewa na si kutafuta (ofisi za serikali zote wanatumia landline za TTCL) bado tu hawafanyi vizuri?
Tatizo ni nini?