Nipo njiapanda: Kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane

Thanks ndugu zangu
Sio kama sijawaza kubwaga...nimewaza hlo
Sio kama sijui anachokifanya...ninajua

Just nltaka kusikia ushauri kutoka kwa watu wenye experience tofaut tofaut

Akili za kupewa changanya na zako!!...
 
Kuna best yalimkumba hayo hayo, nikamshauri aendelee na yake lakini hakutaka kunisikiliza,kiukweli wengi wa wasichana akishasafiri kwenda chuo au mkoani mambo hubadilika, kama sio kuachwa basi kusalimiwa, cha muhimu achana nae endelea na maisha yako, huwezi kumbadilisha l, atakuharibia mtiririko wako wa maisha
 
Nisubiri mkuu hapo hapo njia panda Himo nakuja huko kwa ajili ya December conference (chaggaz)
 
Kuna best yalimkumba hayo hayo, nikamshauri aendelee na yake lakini hakutaka kunisikiliza,kiukweli wengi wa wasichana akishasafiri kwenda chuo au mkoani mambo hubadilika, kama sio kuachwa basi kusalimiwa, cha muhimu achana nae endelea na maisha yako, huwezi kumbadilisha l, atakuharibia mtiririko wako wa maisha
Na kweli mkuu...kila nnapowacliana nae mambo yngu hayaend kabiiisaaaa
 
Mwambie akafanye mazoezi,apige Gym sana nn alafu apunguze kula moyo utakuwa mwepesi.. Hapo sepa katafute mwingine ameshachukuliwa huyo
 
We endelea kumpenda ila moyo wako inabidi ukubali wewe kwasasa ni love security ya huyo msichana, huyo aliyenae mwanamke anampenda ila hajamuweka kwenye himaya yake kama alivyokuweka wewe ndio maana hataki kukupoteza ili akiachwa arudi kwako au siku bwana mpya akizingua anakua karibu nawewe kwa kifupi kwasasa wewe ni (spare tairi)..,na spare tairi sifa yake ni kutumika kwa muda tu hutaweza kuwa wa kudumu kamwe ataendelea kukutumia mtu sahihi akiwa hayupo ila akiwepo utakua pending tena
 
mkuu mapenzi hayana mwenyewe huyo kaweka moyo wako kwenye rambo wadada akili zao zinabadilika kila siku uliza moyo wako kwa sasa unatakaje kama bado unampenda amini huu muda sio sahihi wa wewe kuwa na wewe
mimi niliachagwa miaka 4 iliyopita bila hata kosa na upole wangu rejea kwenye avatar yangu ila mwaka huu ananitaka leo kesho nimecheka sana kaza moyo
 
simpo tu ndugu.. mkubalie then usitafute mtu saiv kuwa single hadi uhakikishe amepata anaemtaka halafu tafuta mkali zaid yake halafu kiwa cool
 
mkuu mapenzi hayana mwenyewe huyo kaweka moyo wako kwenye rambo wadada akili zao zinabadilika kila siku uliza moyo wako kwa sasa unatakaje kama bado unampenda amini huu muda sio sahihi wa wewe kuwa na wewe
mimi niliachagwa miaka 4 iliyopita bila hata kosa na upole wangu rejea kwenye avatar yangu ila mwaka huu ananitaka leo kesho nimecheka sana kaza moyo
b1638a72262cf0997a75caa30a5ec2fc.jpg

Nnahic we are on the same boat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom