Nilidhani umeme wa Tanzania ulipaswa kuwa wa bei rahisi kama tulivyoahidiwa baada ya kupatikana gesi mtwara.,ila kama umeme wa maji tena ya mabwawa ya kuchimbwa na ukasafirishwa toka ethiopia mpaka tanzania ni rahisi kuliko wa mabwawa natural tuliyokuwa nayo na gesi pia basi inabidi tujitafakari sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.