Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Nduguyangu wanawake wengi wako hivyo siku hizi, wewe ulikuwa kama gurudumu la spear tu na wahenga walisema ukiona fala ameachwa ujue kuna mjaja kapendwa, pole aisee ila usikate tamaa upande wa pili wa picha unaweza ukawa umeondolewa mzigo ambao ungekusumbua mwishowe katika mafanikioni omba Mungu utapata kizuri zaidi ya hicho.
 
Akili zingine bwana sasa unaomba ushauri wa nini? Tukushauri unywe sumu au? We umeshapigwa chini si uachane naye ooooh sijui bado nampenda Mara nilikuwa nampa mahaba moto!!! We huwajui wanawake wewe! chakufanya hapo achana nae utaharibu kila kila kitu katika maisha yako elimu na maisha kiujumla utajiharibia na tatizo unaamini huwezi kupata mwanamke mzuri kama huyo
 
Ha ha bro we hujaelewa nini sasa hapo? Maana yake we ni mvulana sasa huyo mpenzi wako kapata mwanaume we soma tu, tena hamia hostel mpya ebo?
 
Kama uliweza kuishi kabla ya ujio wake basi utaweza kuishi kwa kuwa mbali nae kwani lazima maisha yaendelee! Inawezekana umeumia lakini ili akili yako ikue na ikomae ni lazima kupitia changamoto kama hizo! Jipe muda wa kupumzika, jitathimini na kuona utaanzia wapi! Pia usikubali kupitisha muda mrefu bila ya kufanya usajili mpya ili kuitafuta faraja kwa sababu umasikini mkubwa zaidi duniani ni upweke!
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Km unataka umteke Tena usimuoneshe km umestishwa ama amepagawa kutokana na hyo habar. Wewe wa-wish maandalizi mema na chukulia km hilo Jambo halikuumi Aya kidogo.
Atarudi soon
 
Relax simply she was not yours ndio maana kafanya hivyo nibora sasa kuliko uingie kwenye ndoa na mtu mwenye mapenzi na MTU mwingine hivyo naona kautendea haki moyo wake..chamsingi wew tafuta wakwako yuko anakusubiria...
 
Hahahahaha Tangu My Real Love Lucia Aseme Its Over Between Us Mapenzi nimekuwa mtu wa kuyachukulia kwa Namna ya Kipekee sana Bt Ckia Mapenzi co Hivyo Unavyoyachukulia Ni hivi Yule Ulitakiwa Umfanye Friend With Benefit " Ukiyachukulia Hivyo U will Never Pain A Gain Hivyo Yani.
 
Kumbe uliwekeza kwenye kugegeda tu?? Pole kasome kwanza
 
Hivi bado kuna watu wanapendana siku hizi! Dah...Hivi Dume zima unapenda mtu mpaka unalia hivi.
 
Lakini hujatwambia mahusiano yenu hapo kati(Tokea alipoenda Arusha na alipotuma hiyo picha).Kama mliendeleza au kama ndo mazima.
Kwanza kabisa,navyojua mwanamke kama hana mpango na wewe utajua tu.
Labda we ulimpenda yeye akawa anapoteza mda tu,
Labda hakukuona yule aliyekuwa anafikilia! Ukizingatia mwanachuo we ni wa kugegeda siyo wa kujenga maisha,
Lakini pia,niulize, ndo mara yako ya kwanza kuaachwa? Kama jibu ni ndio,jifunze sasa.Mwanaume haachwi.Umenipata?Ukiona dalili tu,chomoa faster.
Lakini pia,ndo maana nimekuuliza uhusiano wenu uliendeleaje!Kama anakupima uvumilivu wako(japo hilo siyo jambo la kuleta kwenye utani)?Mi nafikili lipe mda kidogo,fatilia mwenendo wake,mdeshi kumtembelea huko huko na kukaa nae wiki.Akikubali tulia,akigoma, nyoosha mikono.
 
Dem anafanya kazi wewe upo chuo hilo tatizo la kwanza..,kalinganisha boom na mshahara wa mume mtarajiwa kaona hamna future nawewe kwani sahv hali ngumu unaweza kumaliza chuo usipate ajira uanze kuomba nauli..
Hawezi kukupendea kumtimizia kwani wote tunajua wanawake wanataka nini so inawezekana mtarajiwa kakuzidi pia
Cha msingi sahv sio muda wa kutafuta mke focus kwenye masomo na ukitafuta mpenzi tafuta wa size yako
 
Wakuu habari za muda huh...

Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa...

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show.

Najiuliza nini kimemsibu!!!

Naomba ushauri wakuu
Shukuru mungu amekwambia ukweli na be a man to except it and move on, ningekua wewe ninge jitahidi sana kusoma kwa bidii ili niweze kuja kupata kazi itakayo nilipa sanaa,Show mkuu sio issue sanaa hata ungesimamia kucha sana sana ungejichosha tuu mwili,lakini ungekua na Cash hata ungekua unaipapasa tuu ungeitwa fundi na hakuna kama wewe,lakini show bila hela haiwii.....
 
Kama papuchi ulikua unapewa mbariki tu na apite, upate mwingine ila mwambie friendly match asikubanie over
 
Back
Top Bottom