Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Washauri ndugu zake wampeleke akaombewe huyo kwani binadamu mwenye akili timamu hawezi kufanya hayo unless mwanzo ulikua unamdharau analipa kisasi.,hatuwajui wanawake ndio ila out of the blue mtu unayemjua vizuri mpaka ukamuoa mkazaa hawezi change ghafla hivyo
 
Kuna wakati yatupasa kuwasikiliza wote ndipo tuchangie, yawezekana ulikuwa unamfanyia vitimbi akavumilia tu maana hana jinsi alipopata kibarua akashukuru Mungu amejinasua kwenye mateso.
Hivi kweli mtu Mzima aje jamii forum azungumze ya moyoni yanayomuumiza asiseme ukweli adanganye?? Kwa suala kama hli?
kwa faida ya nani sasa!!!
 
Washauri ndugu zake wampeleke akaombewe huyo kwani binadamu mwenye akili timamu hawezi kufanya hayo unless mwanzo ulikua unamdharau analipa kisasi.,hatuwajui wanawake ndio ila out of the blue mtu unayemjua vizuri mpaka ukamuoa mkazaa hawezi change ghafla hivyo
Nna waswas na.nguvu za giza
mana.sio.akili.ya mtu wa kawaida kabisa..
 
Wanaume wote mjifunze-- Haiwezekani unamsafirisha mke wako (hata mwanamke kumwacha mmeo) mkoa mwingine eti anaenda kufanya kazi, ukishafanya hivyo ujue ndoa hakuna. Aisee mi stataka mme wangu mfano mi naishi dar halafu ye anafanya kazi Mwanza, hicho kitu nakipinga kwa nguvu zote ( kama kwenda tukaish wote tu kiukweli)
 
Japo unataka ushauri wa mambo ya ndoa, nina swali juu ya nyumba ya Dar, kwa nini unataka kuiuza?
 
Japo unataka ushauri wa mambo ya ndoa, nina swali juu ya nyumba ya Dar, kwa nini unataka kuiuza?
Maaan sitaki ajue sehemu nitakayaokuwepo nikirudi naanza maisha pekee yng na mwanangu
 
POLE SANA Kweli Wewe ni kidume hasa, Mwanaume anatakiwa awe hivyo, Kiufupi alivyofanya sivyo, NA MAAMUZI UNAYOTAKA KUCHUKUA NI YA KIUME, NA NI SAHIHI, Kila la kheri, usisahau kumtunza mwanao na kumpa elimu iliyobora.
 
Washauri ndugu zake wampeleke akaombewe huyo kwani binadamu mwenye akili timamu hawezi kufanya hayo unless mwanzo ulikua unamdharau analipa kisasi.,hatuwajui wanawake ndio ila out of the blue mtu unayemjua vizuri mpaka ukamuoa mkazaa hawezi change ghafla hivyo
Mkuu mwanamke sio km MTU mwema km alikuwa hajawahi kushika ml.1 kwa mwezi unazani itakuaje kila mwezi anajua anapta km sio kuanza visa anajua uwezi kufany lolote piaa mm toka aanze kazi sijawahi kuomba hela yake maaan mshahar wake uwezi kunisaidia lolote
 
POLE SANA Kweli Wewe ni kidume hasa, Mwanaume anatakiwa awe hivyo, Kiufupi alivyofanya sivyo, NA MAAMUZI UNAYOTAKA KUCHUKUA NI YA KIUME, NA NI SAHIHI, Kila la kheri, usisahau kumtunza mwanao na kumpa elimu iliyobora.
Nashukuru sanaaa kwa ushauri
 
Mkuu niuzie gari plz, njoo inbobo, huyo mama hata usipoteze muda wako kumuwazia kabisa we lala mbele tu
 
Aaah, nimesoma kisa chako kw kweli kimeniumiza sana, kwanza pole kw yote yaliyokukuta, ndg yangu wanaake wanavitimbi vingi kilichokukuta wewe ni wengi tu kimewakuta, kifupi ulichokifanya ni sawa kw mtazamo wangu
Bahati nzuri kwa wanawake huwa hawawezi kugawa mapenzi. Akipata mwanaume mwingine, utajua tu. Hapo ni kujiongeza tu hakuna ubishi.
 
Naomba niende kwny mada .mke wng alikuwa mama wa nyumban nilikaa nae kwa upendo sanaaa cjawahi kujutia na upendo sanaaa na heshima.mpk Dada yng akasema nifanye mpng mke wng awe na kazi basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila cku maaan nimezaa nae mtoto 1 .nikamtafutia kazi mm nipo arusha akapangiwa kazi bukoba ss ndio tatizo limeanzia hapo.wiki ya kwnz kuripoti mwasaliano yalikuwa mazuri sanaaa maaaan hela ya kuanzia nilimpa ss alipoanza kupokea mshahara duuuuh akaaanza kunifanyia dharau napiga cm hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti nakutafuta cku akipenda nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata jmosi na jmpl busy ucku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio nakuuliza tafadhali nipigie kwny cm ukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi ukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.kunipigia cm kwa mwezi Mara 1 tenaaa aniuliza mzima ww nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asbh anakujibu ucku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake daaa niliumia siku ambayo aliniambia kwa ss siwezi kufanya lolote ana kazi yake .cku hiyo nilitka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila Dada yng aliniomba nisifanye hivyo baaada ya kumwambia nakuja kufany hivyo akamwambia mama yake.mama yk akaniomba nisifny hivyo sikutka kumusikiliza ila nilisikiliza ushauri wa Dada yng .mwaka 1 umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi cjawahi kumuomba hela yake najua mshahar anapokea bei gani kuna cku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baaadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nn maaaan sijawahi kkuomba hela yako wala kkuliza mshahar wako unapeleka wapi hana cha kuniambia. Kwnz kuongea nae kwa mwezi 1 moja mpk nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojickia siwahi kumuuliza ss.mm kwa ss nimekuja dar kikazi Nina miezi 2 wala cjamwambia km nipo dar nimekaaa kimia Nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 sijamuambia nyumba ya arusha nimemuweka MTU natka niuze nyumba ya dar na gari yang niondoke zng bila kumwambia mwanangu nimepeleka kwa Dada yng na nimemtafutia shule nzuri mm najindaaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikan ya tz hawezi kunipata nirudi tz nitaaanza maisha Mpya na mwanangu kuoa tenaaaa sitaki je nimefany kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsa baaada ya ndugu yako unifanyia sivyo
Aisee,hujakosea hata kidogo,move on aisee.
 
Hivi kweli mtu Mzima aje jamii forum azungumze ya moyoni yanayomuumiza asiseme ukweli adanganye?? Kwa suala kama hli?
kwa faida ya nani sasa!!!

Sisi ni binadamu, nakutana na kesi nyingi za hivi clients wanaegemea upande wao sana ukiwapata wote ndo unaujua ukweli.
 
Mkuu mwanamke sio km MTU mwema km alikuwa hajawahi kushika ml.1 kwa mwezi unazani itakuaje kila mwezi anajua anapta km sio kuanza visa anajua uwezi kufany lolote piaa mm toka aanze kazi sijawahi kuomba hela yake maaan mshahar wake uwezi kunisaidia lolote
Naelewa ila huoni kama ni mtu alikua anasubiria timing ya kukimbia unless uniambie alikua na tabia mbaya mapema au ulimuoa kwa nguvu ya hela ila mapenzi upofu hukutaka kuona sometimes huwezi kupata ukweli wa jambo upande mmoja..,na solution ya tatizo sio kukimbia what if usafiri ukirudi unayemuoa nae afanye the same thing kwani nae ni mwanamke pia...,kama upo serious the best thing nikujua ukweli wa mambo ili usije rudia kosa hisia sio kama button unazima na kuwasha umepata kazi uzime
 
Back
Top Bottom