Recent content by baba yoyoo

  1. B

    Kwa wanaume: Ikikuuma potezea tu

    yaan k yaan ktk wanaume nenye akili ww mtoa mada n mwanaume tena mwanaume mwnye busara pia hekima! kwn nakuunga mkono kw 100% kwn mawazo yako n chanya n yana tija n pia yanelimisha jamii. n hata tkijaribu kuangalia jamii yetu y sasa vijna wengi gtumepotoka n tunaiga mambo hayana mcngi n...
  2. B

    Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

    kiukwl unapaswa kumshukluru mungu km umeweza kupata mpnzi ambae mnapendan kiukwl! pia suala l kuvuta bange n suala baya bt inategemea n hiyo bangi anayovuta inampelekaje kwn km haleti mambo y ajabu c mbya inawezekan hiyo ndio starehe yake kubwa kuliko angekuwa n mlevi w wanawake (malaya). so...
  3. B

    Sijaelewa: Jaji amethibitisha kuwa CHADEMA ilitoa wapiga kura Kenya?

    ni kwl mkuu kwn nchi hii inaendeshw kw micng y kuanagali upande mmoja! kwn km pangekuwa n haki ktk nchi hii c dhan km hukum km hii ingeweza kutoka kw style hii! kuikwl umelichambua vizur n ukwl wote upo nje nje! haaaaaaalaaah!
  4. B

    Piga Kura ya Lissu kufunguliwa Mashtaka mapya..

    namuunga mkono tundulissu kw 100% kwn anachokiongea n ukwl usiopingika kwn unaona yanyoendelea pale bungeni kwn kw miaka yote tangu nipate akili cjawahi kuona bunge km l kipndi hichi kwn bunge nw days c muhimili w kujitegemea kwn maamuzi yanatolewa n wachache. Ktk uongozi uliopita hakukuka n...
  5. B

    PICHA: Utachukua uamuzi gani ukimfuma mwanao kafanya hivi?

    Nitazidisha mapnzi kw mtoto wangu huyo! n ctoifuta hiyo kwn itakuwa n kumbukumbu yangu y kila nionapo!
  6. B

    Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

    Napenda kukupongeza sn ndugu kw mada yako kwn inamafunzo ndn yake y kutosha! Mm pia binafsi naungan n ww kw 100% kwn unajitahidi kutufundisha na pia umeenda kwny lengo lenyewe la jamii forum kwn unaelimisha jamii! napenda watu km ninyi wenye mawazo yenye tija ktk jamii! Big up sn! kwn pamoja...
  7. B

    Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    mm binafsi nawapongeza sn TAHMEED kwn wameleta mapinduzi sn ktk industry y usafiri nchi hii kw kiac kikubwa n pia wameleta mabac ambayo yan ubora sn n pia yenye ubora! Hongera sn TAHMEED kw ubora wenu!
  8. B

    Mwanamume Fisi Apiga Nduru Baada Ya Kuanguka Kwenye Mtego

    huyu jamaa nae boya hat km mwanamke amenikuta live hawezi kunipiga kihiv halfu nimekaa tyuu! never!
  9. B

    Peter Bwimbo (Mlinzi mkuu Mwl. J.K Nyerere): Changamoto nilizokumbana ktk Ulinzi wa Mwl. Nyerere

    n simulizi nuri sn kwn inamafunzo n tunajua wp tumetoka, wp tulipo n wp tunaend! congratulation!
  10. B

    Watu wenye uchungu wa maisha wajitokeze

    kw hapo bro umeeleweka kwn hiyo hali y wacwac umewatoa wtu wengi ninaimani nw watakuwa wameelewa mchakato mzima utakavyokwa! pia km atakuwepo mwnye swl namuomba aulize hapa bila kuwa n uoga wowote!
  11. B

    Lissu, Mhariri wa Mawio wafikishwa kizimbani leo

    mwka huu nakwmbia CCM wameshikw pabaya wanatafuta pa kutokea! utashinda tyuu Mr Lissu! haki huwa haipotei milele daima!
  12. B

    Kejeli za Eddo Kumwembe dhidi ya Rekodi za Zitto Kabwe

    kiukwl cjaelewa point yako mpak ss? jaribu kwnd mojakomoja kwny point ueleweke!
  13. B

    Onyo kwa wote wanaotafuta kuajiriwa

    Habarin z asubuhi wapendwa kwn mtoa mada ashukuriwe sana kwn anamuono w mbl n chanya! hongera sn ndugu! napenda sn niwe friend w ww kwn unaonekan unamawazo chanya n pia unaweza kunipa changamoto ktk gurudum hili l maisha! km hutojali plz nawez kuwa friend w wako?
Back
Top Bottom