Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

bangi iko vyema mamy..hakuna uthibitisho wa kisayansi uliothibitisha kuwa bangi ni mbaya.
 
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya nifurahie mahusiano.

Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.
Wewe ni mwanaume au mwanamke,maana naona avatar yako haifanani na mwanamke,sasa sijui tukueleweje?,muda sio mrefu utaanza kutukoromea humu jukwaani bila kujali kosa lako.
 
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya nifurahie mahusiano.

Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.
nawe vuta
 
kiukwl unapaswa kumshukluru mungu km umeweza kupata mpnzi ambae mnapendan kiukwl! pia suala l kuvuta bange n suala baya bt inategemea n hiyo bangi anayovuta inampelekaje kwn km haleti mambo y ajabu c mbya inawezekan hiyo ndio starehe yake kubwa kuliko angekuwa n mlevi w wanawake (malaya). so kubaliana n matokeo ch mcngi n real lv!
 
Usiogope dada, bangi ni kitu cha kawaida kabisa alafu wanaovuta bangi ni wengi kuliko ata unavyofikiria,sio wahuni tu ndio wanaovuta bangi wengine ni wazee kabisa tena na busara zao ukioneshwa hauwezi ukaamini kama ni wao chukulia poa as longer he/it doesnt affects you my dear.
 
Watu watakuhubiria lakini hakuna atakae kueleza siri ya mafanikio ya ndoa yake, kuna wanaovuta bange/bange na waume/wake zao. Hiyo ni siri ya ndani. Wale wanaoolewa na wachungaji inabidi ajifunze neno la Mungu bila hivyo hamtakaa nyumba moja kila mtu anawaza lake. Kama unaona hutayaweza achia kamba.
Lakini bangi nayo ni MKUYATI NA MKASHARI ,yaani ni mzuka usiozimika.
 
bangi haina tatizo kabisa, kwanza akiacha na sura yako ilivyo mbaya ,,, fasta anakukimbia,,,, anakuona beauty coz msuba 24/7...akiacha tuu.... uje hapa useme nimemuacha sbb ya bange....😉😉😉
 
Haina haja we angalia kama bange zake haziathiri matarajio yenu

Kama bange ni zile za kiofisi chukulia poa lakini kama ni zile za kijiweni daaah, jiangalie asee
hahahahahah kwahiyo siku hizi kuna bangi za kiofisi na za kijiweni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom