Onyo kwa wote wanaotafuta kuajiriwa

Onyo kwa wote wanaotafuta kuajiriwa

Ajira ni daraja la kuvukia shida kuelekea ktk kutimiza ndoto zako, hatima ya ajira si nzuri Kwa mwajiriwa maana humfanya abweteke na kuliwa mshahara, haumizi kichwa kutafuta pesa nje ya ajira zaidi ya kuwaza kuwa mfanyakazi bora, mwisho wa Siku kazi ikiisha au akistaafu na kurudi mtaani maisha yake yanakuwa magumu Sana maana hata biashara hajui kabisa, mara nyingi huishia kutapeliwa tu au kufeli ktk biashara baada ya kuvamia biashara asiyoijua hata kidogo.

Anafeli biashara na kuanza kutafuta kazi tena, hadi anazeekea kazini na kufa maskini wa kutupwa na ndo maana hutakaa uone ktk maisha yako mfanyakazi yoyote yule akiwa tajiri.

Ajira haina future hata kidogo, mfanyakazi ni toilet paper ktk nchi nyingi duniani, analipa kodi Kwa serikali kila mwezi na bado tu ananyanyaswa.

Sasa hivi serikali imefunga mafao yasichukuliwe na wafanyakazi hadi baada ya miaka 55 Umri ambao kuufikia ni Majaliwa, hayo yote ni manyanyaso Kwa mfanyakazi.

Epuka kuajiriwa jifunze Sana kujiajiri ndo utatengeneza hatima nzuri ya maisha yako.
Habarin z asubuhi wapendwa kwn mtoa mada ashukuriwe sana kwn anamuono w mbl n chanya! hongera sn ndugu! napenda sn niwe friend w ww kwn unaonekan unamawazo chanya n pia unaweza kunipa changamoto ktk gurudum hili l maisha! km hutojali plz nawez kuwa friend w wako?
 
Nimepitia thread zote, nmeona michango mizuri tu ya wadau mbali mbali, ukitoa pumba moja tu ya aliyemtaja lowassa sijui nn!
Ila nataka kuweka neno moja, haiwezekani kila mtu ajiajiri jamani; Kumbukeni hata hao matajiri wanatafuta Manpower ( watu wa kufanya kazi katika kampuni zao; Sasa kama kila mtu anataka kujiajiri just imagine hii dunia itakuwaje;Hivyo haya ni mambo ya utaratibu tu. Kuna watu wangu wa karibu sana including some family members hawajajiajiri na huwa hawapendi kujiajiri; lakini pia maisha yao siyo mabaya kama mnavyotoa kwenye huu uzi humu.

Naomba kuwasilisha.
 
Umekosea mwishoni kusema mfanyakazi yeyote hawezi kuwa tajiri Lowassa hakuwahi kuajiriwa? Anapesa au Hana?
Mimi naona yuko sawa mkuu Mimi nimeona asilimia% ya walioajiriwa wengi wakistafu huwa na maisha magumu sana
 
Pamoja na yote lakin biashara Ina changamoto zake asikuambie mtu, bora mshahara Una uhakika nao
Achana kabisa na kitu kinachoitwa mshahara,utakufa maskini hivihivi unajitazama.Wewe utakuwa mtu wa kukopa tu siku zote,tena unakopeshwa na kijana jirani yako anayeuza chips.
 
Unafanya biashara gani?
 
Hv hili la kuchota chetu huko NSSF ni kweli limezuiwa???nitapigana hapo ofcn kwao mpaka wataniandikia chaque we ngoja tu,tena nna hasila
Mkuu gerezani butimba kuna uhaba mkubwa wa wafungwa,kazi za kuponda kokoto zimesimama kabisa.
 
Ajira ni daraja la kuvukia shida kuelekea ktk kutimiza ndoto zako, hatima ya ajira si nzuri Kwa mwajiriwa maana humfanya abweteke na kuliwa mshahara, haumizi kichwa kutafuta pesa nje ya ajira zaidi ya kuwaza kuwa mfanyakazi bora, mwisho wa Siku kazi ikiisha au akistaafu na kurudi mtaani maisha yake yanakuwa magumu Sana maana hata biashara hajui kabisa, mara nyingi huishia kutapeliwa tu au kufeli ktk biashara baada ya kuvamia biashara asiyoijua hata kidogo.

Anafeli biashara na kuanza kutafuta kazi tena, hadi anazeekea kazini na kufa maskini wa kutupwa na ndo maana hutakaa uone ktk maisha yako mfanyakazi yoyote yule akiwa tajiri.

Ajira haina future hata kidogo, mfanyakazi ni toilet paper ktk nchi nyingi duniani, analipa kodi Kwa serikali kila mwezi na bado tu ananyanyaswa.

Sasa hivi serikali imefunga mafao yasichukuliwe na wafanyakazi hadi baada ya miaka 55 Umri ambao kuufikia ni Majaliwa, hayo yote ni manyanyaso Kwa mfanyakazi.

Epuka kuajiriwa jifunze Sana kujiajiri ndo utatengeneza hatima nzuri ya maisha yako.

Mkuu umesema kweli tupu..
 
Ulichoongea kina mantiki. Ila labda hujaona vijana walioajiriwa wanavyopigana kutotegemea salary ya mwajiri pekee. Maisha ni mwalimu, na jinsi jua lilivyopiga mfukoni, some limewaingia waajiriwa wengi. Wanao tafuta ajira nao, wengi wantafuta pa kutoka (mitaji)
 
Unapokua na kazi inakusaidia kusevu laki 8 /9 au M kuendelea mbali na matumizi mengine per month nakushauri uendelew na kazi mana wkt huo huo unaeza kufungua na biashara kupitia saving zako mtoa mada ulitakiwa useme unapokua na kazi kama inakusaidia kula tu nakushauri uache lkn kama inakupatia kipato zaidi ya kula usiache
 
Hayo mawazo ni ya chuki. Kama mfanyakazi ni toilet paper ya mwajiri basi hata mjasiriamali asiajiri mtu. Biashara ya mtu 1 hausongi mbele. Ukiumwa inaumwa.
Badili mtizamo wako kuhusu ajira na biashara.
Ukitaka kujufunza au kufanya biashara vizuri ajiriwa kwenye hilo eneo upate uzoefu halafu toka kasimame.
Haya mambo hayataki hasira !!
 
Ila maneno yana ukweli maana mishahara yenyewe ya mbuzi, nina miezi 9 ktk ajira nayaona magumu yake nafikiria kupata chanzo kingine cha kuingiza pesa maana hii ni adhabu tosha.
 
Kwani lazima wote wajiajri au kuajirwa... waache kwa kuajiriwa waajiriwe.. wa kujiaajiri wajiajiri...
 
Back
Top Bottom