PICHA: Utachukua uamuzi gani ukimfuma mwanao kafanya hivi?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
ImageUploadedByJamiiForums1466493389.262925.jpg
 
Kwa hili wala humfumi bali unamkuta au unakuta kafanya. Unazungumza nae tu.
 
Sitaacha upuuzi huu usihie hivi hivi lazima hatua ichukuliwe, kwanza kwasababu yeye hajui kosa lake nitamchekea tu na kumuambia thank you Darling, baada ya hapo nitachukua pesa zangu na kulipa hilo kosa kwa kwenda gereji kupaka rangi ubavu mzima
 
Back
Top Bottom