Watu wenye uchungu wa maisha wajitokeze

MAPOUDA

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
446
295
Habarin za. Muamko ndugu zangu,Kwanza kabisa nachukua nafas hii kumshukuru mungu kwa kutupa pumzika na kutupa afya njema na waliohospitalin mungu awatie wepes ktk malazi yao yote.

Kila anaepewa kitu au jambo fulani lenye maana na tija lazima ashrikishe wenzie huo ndio msing mwema wa manadamu anaejua thamani kitu flan alichopewa ilikuweza kupata ushauri mbalimbali pale alipokosea kama si kuvuruga kabisa.

Twende katika point moja ya msingi ndugu zangu sisi sote maisha yetu tunayJua japo si wote tunaringana ktk maisha yetu kuna walio na maisha ya juu,ya kati,na y chin,japo wote ni watoto wa baba mmoja.

Kwa mujibu huo lazima tupate njia mbadala ya kupata pesa na hisa ktk vizaz vyetu vya baadae huko mbeleni. NAHITAJI NIPATE WATU 20 WENYE MOYO NA WANAOUJUA UCHUNGU WA MAISHA NA WANAOWEZA KUJITUMA NA SI WALE WANAOJISIKIA KUWA NA KITU FLANI MANA HAO WAPO NA NI WAABIRIFU WA PLAN AU MRADI UNAOTARAJIWA.

Watu 20 Wanatosha kabisa kuanzisha SACCOS kwa mujibu wa sheria za saccos SIS tutakacho kifanya kila mwez tutatoa 100000 kwahyo kwa watu 20*100000=2000000 tutafanya kwa miezi mitano tutakuwa na TSH 10,000,000/=wakati tunachanga tutakuwa tumeshaandaa katiba ya chama chetu,viongoz,tumeshafungua akaunti,na fomu kwa ajili ya new member,na fomu za mikopo,

Twende kazi:-- baada ya kuwa na hzo 10,000,000 sisi watu 20 tutaendelea kutoa 10000 kama akiba ya kila mwezi na hyo 10,000,000 itakopeshwa kwa watu walio wanachama na wasio wanachama kwa walio wana chama watakoeshwa kwa range ya 5% had 10% kulingana na kiasi cha pesa Na wasio wanachama watakopeshwa kwa range ya 15% hadi 23% kulingana na kiasi cha pesa walichokopa.

Kwa hyo hyo hela itajizungusha mpaka kufikia miaka 2hadi 3 tutakuwa na 40 au. 50milion kwa mantik hyo tunaweza kuanzisha SMALL INDUSTRY ya aina yeyote. Ambayo sisi watu 20 tutakuwa. Mashareholder wa kmpun hyo kwa hyo kampuni itafanya uzalishaji wa malighaf mbalimbali kulingana na soko la muda huo na matakwa ya walaji kwa hiyo tutauza bidhaa na pesa zitaweka na kutakuwa na hisa kwahyo huku saccos inaendelea na huku industry inaendelea SASA.

Bas hili jambo linahtaji mtu jasiri,,mvumilivu,,mchapaka kaz(risk takers) ndio wanaofanikiwa tu ktk maisha

Huu mpango umeandaliwa na SUNDAY RAJABU MWANZALA(mwanzala jr)UPCOMING INVESTER AND INTERPRENUER COACHING BOX. 30149 KIBAHA MAILIMOJ Email:-sundayrajabu@gmail.com PHONE:- +255762581579/+255769816009 " Life is a Sacriface".

KAMA UTAHITAJI HUO MPANGO FUATA MAWASILIANO HAPO JUU "
 
Habarin za. Muamko ndugu zangu,Kwanza kabisa nachukua nafas hii kumshukuru mungu kwa kutupa pumzika na kutupa afya njema na waliohospitalin mungu awatie wepes ktk malazi yao yote,,........kila anaepew kitu au jambo fulani lenye maana na tija lazima ashrikishe wenzie huo ndio msing mwema wa manadamu anaejua thamani kitu flan alichopewa ilikuweza kupata ushauri mbalimbali pale alipokosea kama si kuvuruga kabisa.Twende ktk point moja ya msingi ndugu zangu sisi sote maisha yetu tunayJua japo si wote tunaringana ktk maisha yetu kuna walio na maisha ya juu,ya kati,na y chin,japo wote ni watoto wa baba mmoja. kwa mujibu huo lazima tupate njia mbadala ya kupata pesa na hisa ktk vizaz vyetu vya baadae huko mbeleni. NAHITAJI NIPATE WATU 20 WENYE MOYO NA WANAOUJUA UCHUNGU WA MAISHA NA WANAOWEZA KUJITUMA NA SI WALE WANAOJISIKIA KUWA NA KITU FLANI MANA HAO WAPO NA NI WAABIRIFU WA PLAN AU MRADI UNAOTARAJIWA.Watu 20 Wanatosha kabisa kuanzisha SACCOS kwa mujibu wa sheria za saccos SIS tutakacho kifanya kila mwez tutatoa 100000 kwahyo kwa watu 20*100000=2000000 tutafanya kwa miezi mitano tutakuwa na TSH 10,000,000/=wakati tunachanga tutakuwa tumeshaandaa katiba ya chama chetu,viongoz,tumeshafungua akaunti,na fomu kwa ajili ya new member,na fomu za mikopo,Twende kazi:-- baada ya kuwa na hzo 10,000,000 sisi watu 20 tutaendelea kutoa 10000 kama akiba ya kila mwezi na hyo 10,000,000 itakopeshwa kwa watu walio wanachama na wasio wanachama kwa walio wana chama watakoeshwa kwa range ya 5% had 10% kulingana na kiasi cha pesa Na wasio wanachama watakopeshwa kwa range ya 15% hadi 23% kulingana na kiasi cha pesa walichokopa. Kwa hyo hyo hela itajizungusha mpaka kufikia miaka 2hadi 3 tutakuwa na 40 au. 50milion kwa mantik hyo tunaweza kuanzisha SMALL INDUSTRY ya aina yeyote. Ambayo sisi watu 20 tutakuwa. Mashareholder wa kmpun hyo kwa hyo kampuni itafanya uzalishaji wa malighaf mbalimbali kulingana na soko la muda huo na matakwa ya. WalAji kwahyo tutauza bidhaa na pesa zitaweka na kutakuwa na hisa kwahyo huku saccos inaendelea na huku industry inaendelea SASA. Bas hili jambo linahtaji mtu jasiri,,mvumilivu,,mchapaka kaz(risk takers) ndio wanaofanikiwa tu ktk maisha Huu mpango umeandaliwa na SUNDAY RAJABU MWANZALA(mwanzala jr)UPCOMING INVESTER AND INTERPRENUER COACHING BOX. 30149 KIBAHA MAILIMOJ Email:-sundayrajabu@gmail.com PHONE:- +255762581579/+255769816009 " Life is a Sacriface". KAMA UTAHITAJI HUO MPANGO FUATA MAWASILIANO HAPO JUU "[/
n wazo zuri sn ndugu bt unajua kiukwl hakuna asie n uchungu w maisha kw7bu wote tunahitaji mafanikio n tunawaza jinc y kutoka kw kila njia!Ugumu unakuja pale watu wanapotaka kujua security y pesa zao wanazotoa kwny mchango tena hususan mdio wafunguzi, so inakuwa bado n ngumu sn kw watu kukubali kirahisi bt kuikwl n wazo zuri tena sn kwn n la kujenga tena l kumtoa mtu ktk maisha haya y kibongo! nashauri km inawezekan ukaelezea security y watu inakuwaje ili wtu waweze kuwa motivated n hili suala!
 
Security hela in kubwa sana kwanza kabla ya lazima wote tuwe kitu kimoja,

pili mungu na imani iwepo,

tatu pesa zote zitawekwa bank na masignatory watakuwa watatu na mhasibu akiwepo kwa hela hyo huwezi enda itoa bila mhtsary wa wanachama na pesa itakayoweka payslip itawekwa ktk file maalumu pia kila mwanachama atakuwa file lake ambalo litakuwa na particular zake zote hals na mrith wake maana kuna hisa baadae kwahyo kuna kumia ktk ajali,

kufa na kadhalika kwahyo ukiweka particular za uongo itakula kwako maana kwa baadae kutakuwa na system maalum kwahyo ktk hlo pesa haina shida ulinzi wake hausumbui cha. Msing watu hao wapatikane tuunge group moja la whtsaap then tupange kuonana wapi tunaandaa kila kitu kitakuwa sawa
 
Security hela in kubwa sana kwanza kabla ya lazima wote tuwe kitu kimoja,pili mungu na imani iwepo,,tatu pesa zote zitawekwa bank na masignatory watakuwa watatu na mhasibu akiwepo kwa hela hyo huwezi enda itoa bila mhtsary wa wanachama na pesa itakayoweka payslip itawekwa ktk file maalumu pia kila mwanachama atakuwa file lake ambalo litakuwa na particular zake zote hals na mrith wake maana kuna hisa baadae kwahyo kuna kumia ktk ajali,,kufa na kadhalika kwahyo ukiweka particular za uongo itakula kwako maana kwa baadae kutakuwa na system maalum kwahyo ktk hlo pesa haina shida ulinzi wake hausumbui cha. Msing watu hao wapatikane tuunge group moja la whtsaap then tupange kuonana wapi tunaandaa kila kitu kitakuwa sawa
kw hapo bro umeeleweka kwn hiyo hali y wacwac umewatoa wtu wengi ninaimani nw watakuwa wameelewa mchakato mzima utakavyokwa! pia km atakuwepo mwnye swl namuomba aulize hapa bila kuwa n uoga wowote!
 
kw hapo bro umeeleweka kwn hiyo hali y wacwac umewatoa wtu wengi ninaimani nw watakuwa wameelewa mchakato mzima utakavyokwa! pia km atakuwepo mwnye swl namuomba aulize hapa bila kuwa n uoga wowote!
Yaani waulizee tu tupo kwa ajili ya kutoana siku hz pesa inaenda kwenye pesa tu na watu wote walio fanikiwa ni risk takers ukifuatilia kwa undani utajua
 
Wazo zuri hili.
Ni kwa jinsi gani utaweza kukusanya kiasi tajwa cha pesa kila mwezi ikiwa wanachama wanatoka mikoa tofauti tofauti? kwa sababu kwa uzoefu ukitegemea mwanachama atume mchango peke yake wengi watakuzungusha kwani unajua tabia zetu waswahili.
 
Wazo zuri hili.
Ni kwa jinsi gani utaweza kukusanya kiasi tajwa cha pesa kila mwezi ikiwa wanachama wanatoka mikoa tofauti tofauti? kwa sababu kwa uzoefu ukitegemea mwanachama atume mchango peke yake wengi watakuzungusha kwani unajua tabia zetu waswahili.
Ndio maana nkasema nahtaji watu wenye uchu wa maendeleo wenye kujitoa na wenye kufahamu nin wanataka ktk maisha huwez waza milk gar ya million 30 wakat kutake risk ya 100000 kila mwezi kuwa mbali mbali haina maana kwa mfano mimi nilikuwa nafanya biashara na dada yuko omani hatujawah onana kabisa ila yeye alikuwa mtz anatuma bidhaa nauza napeleka hela mpaka kibanda changu kikainuka na kupaua kabisa yote ni uaminifu tu na kujitoa kwahyo kuwa mbali sio kigezo sana
 
Acha utapeli,mambo hayo watu wanalizana sana
Si kila umuonae ni tapeli alafu ktk maisha watu wanamna kama ya kwko huwa mnabaki na kulalamikia serikali hawap ajira wakati uwezo na watu wenye mnawaita matapeli alafu nikikwambia nature ya kazi yangu hutoongea tena hyo kauli si kila umuonae humu ni tapel kuna watu wa aina nying humu kuwa na busara na hekima sote ni ndugu wamoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom