Recent content by Azimio Jipya

 1. Azimio Jipya

  Swali Gomvi: Ni nani Unayemwamini na Kwanini?

  Hakuna shaka kwa hapa tulipofikia Lazima kuiamini serekali KIKAMILIFU! Hao ACACIA sio wakuamini kabisa anyway kwanini wasijitetee ..! Kwa uharamia wa wazi kabisa wanaofanya. Watanzania lazima kuwa wamoja na kushikana kwenye hii vita sio vita ndogo. Inabidi kuweka tofauti zetu zote kando na...
 2. Azimio Jipya

  Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

  Huu ukweli mchungu! Lakini msema kweli ni mepenzi wa Mungu!
 3. Azimio Jipya

  Kwa muktadha huu "URAIS" ni wa CCM 2015...

  Kind of I understand you better! Power of woman intuition? That is is the only guess I can put forward. God Bless!!!
 4. Azimio Jipya

  Naantombe Mushi is in the house

  Asiwazingue ... Anto kwa kimachame = Amshwa Mbe = Mwanaume. Kwa kingereza ingekuwa = "He". kwa mwanamke = Mae = "SHE" Kama salam ya asubuhi. ikimaanisha Umeamshwaje .. au Umeamkaje Umeamshwaje mtu wa Kiume = Neantombe. Umeamshaje mtu wa Kike = Neantomae.
 5. Azimio Jipya

  Hofu ya Machafuko

  Demokrasia ya kweli ni mjumuisho wa mambo mengi na muda wa safari yenyewe ... hautabiriki. Kwa kawaida huwa ni muda mrefu uliosheni changamoto kadhaa.
 6. Azimio Jipya

  Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

  The Boss What a coincidence ... ! Nemo a good old fried .. !
 7. Azimio Jipya

  Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

  Nemo its touching ... reminds me a lot! God bless!!
 8. Azimio Jipya

  CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

  Miezi michache iliyopita hakuna mtu angeweza kwa kutumia akili timamu kuja na analysis yenye kueleza kinachotokea kwenye siasa za Tanzania leo hii. Nani angeweza kuja na analysis ambayo ingemuweka Membe, Magufuli, Lowasa, Dr Slaa, Sumaye na Prof Lipumba Hapo walipo sasa. Pia ni vigumu kabisa...
 9. Azimio Jipya

  Throw Back Sunday

  Three Presidents ? I don't thinks SO!!!
 10. Azimio Jipya

  CHADEMA: Ole wenu mkiipokea Mizoga ya CCM!

  INDEED ...!! I'm still insisting, there's great change about to unfold. The Liberal CCM (Lowassa, Mbowe and UKAWA group) are doing a very good assignment, swiftly pressurizing and forcing the Conservative CCM (Magufuli and the true reformers remain on there) to come to their sense, to work up ...
 11. Azimio Jipya

  CHADEMA: Ole wenu mkiipokea Mizoga ya CCM!

  The Hypnotic Force of EL, what about that moment when he pulls off his mask .. OMG!! No one will come near him. No one will alter a word from this power monger ... OMG, .. CDM what got in your gray matter ... ! But wait, theres a good side out of all this. You look in all those pictures when...
 12. Azimio Jipya

  CCM Ni "Chama Dola" Sio Chama Cha Siasa, haingoki Madarakani Ng'oo

  CCM kwenye ujio wa ukomavu .. ! Hakuna isichokijua kwa makosa na kwa maziri.
 13. Azimio Jipya

  2015-uchaguzi mkuu na hatma ya nchi

  Poor UKAWA/CHADEMA. Mtajutia hicho mnachotaka kukifanya. Mko mbioni kutengeneza CCM Lowassa ( Liberal) Dhidi ya CCM Magufuli (potential CONSERVATIVE). CCM conservative hawatalala.. hawatakula ... hawatakunywa ... Bila kuchoka watakuja kwa namna .. Ya kujeruhiwa. Wata reform ...
Top Bottom