Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Wale wanawake mmoja alisema,,Trump aliingiza mkono kwenye sket akamshika vagina.Je hilo siyo tusi wala kashfa?
Wewe unadhani kwanini siko zote hakuwahi mshitaki azikombe hela km wengine marekani?Ila kapenda za Clinton?Kwa vile ni watu wa kutia huruma sana.Waongo na njaa tuu zinawasumbua.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Ukiwauliza mashabiki wa Clinton kwanini wanamuhofu Trump watakwambia pamoja na mengine jamaa ni dictator
wengi wa washabiki wa mama ni wapuuzi sana. Wabunge wanawake eti wamelia.Kesho utawasikia wakilia eti hawataki ushoga wala biashara ya watoto wao kutolewa mimba na dawa za uzazi wa mpango,sijui na vilainishi. Hiyo chama ya mama ndio kazi yao kupromote na kutoa hela kibao kwa akina umati,marie stopes etc.
 
INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
4,995

chakushangaza zaidi mama Mghwira hata kura yao kati yao hakupata
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
chakushangaza zaidi mama Mghwira hata kura yao kati yao hakupata
Niliwaambia wanawake linapokuja swala la mwanaume, wanaweza angalia sura, wanaweza angalia issue binafsi za ngono km upo safi hakuna haja ya kuwa gentleman km wanavyojidai kutaka. They will never be free.Ndio Clinton kafanya kazi kubwa ya uchonganishi kaambulia zero,akina mama wamechukua dume la mbegu.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
jibu point acha umeaumbea tabia za kishoga hizo,huwezi kupambana kwenye nyuzi kama hizi kula kona
Ndio hivyo,ila utashangaa hata viongozi wa dini zote,chuki zao na ubaguzi umefunika akili zao.Hawaoni ushoga na mengine ni mbaya kuliko kulilia kwenda kwao.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Wachumia tumbo hawaruhusiwi kwenye uzi huu .
Mkuu umempa kinachomstahili.Hao ndio km hao wapuuzi clinton alikuwa akiwaita wapiga kura.Sasa wanajionyesha jinsi gani wanaendeshwa na ujinga wa kigaidi.Walijisahau wakadhani wameshakuwa wengi kiasi cha kuifanya marekani km nchi ya mashoga, km somalia, afghanistan, au tandale.Hao wazamiaji wengine ni wabongo waliosoma kwa hela ya serikali,sasa wanalilia nchi za wengine waziharibu km walivyoharibu walizotoka.
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,364
1,195

Huu ukweli mchungu! Lakini msema kweli ni mepenzi wa Mungu!
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Its funny kwamba watu wanadhani trump ni populist. Ila Diurtete ,Putin sio..
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Mama katoa hotuba ya kukubali kushindwa
Tayari watu wa karibu sana katika kambbi ya mama,wameshaanza kumsogelea mzee wa kazi Trump. Wanajibaraguza sijui km ataikuza amerika watashiriana nae ila km atakuwa sijui nini na ni hawataacha mashambulia. wengine wanakiri mama hakuwa na uhasilia mbele ya watu masikini,hakuwa na muunganiko wowote na watu zaidi ya matajiri, na wadhamini ktk nchi zinazoongoza kudhamini ugaidi. Speaker aliyemkimbia Trump dakika za mwisho hadi Trump akasema HUYU MWOGA NA WENZIE HAWAJUI KUSHINDA,ATAWAONYESHA JINSI YA KUSHINDA, tayari republicans wanasema apigwe chini mwoga mkuu.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Waliompigia Trump kura waniatwa "ALT RIGHT". Na hadi sasa mwendo wa TRUMP unawaridhisha. km huwajui google. Ukiwaleta km 100 tuu hapa JF buku 7 na wasomi hewa UDSM , wangeanza kilio cha ubaguzi wa rangi.Ndio kinga yao ya mwisho na kilio cha kipuuzi.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Trump kabla ya kuingia kesharudi ajira zaidi ya 2500 marekani. Na ajira za mwezi november zimevunja record y amiaka 9.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom