Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,167
2,000
Duuuuh, kwanza hongera kwa kupata kipima uaminifu.

Kama kisa ulichoandika ni kweli usijaribu kufungua hiyo zipu iliyoandikwa YKK. For sure ukijiroga tu ndo umeozea jera na familia yako utaisahau. Pia hayo mazingira anayokuwekea angalia yasikupeleke kubaya maana cku mumewe akikuotea upo unategwa ndo umekwisha.

Tafuta kaz nyngne,kwan b4 uliishije?
 
chameleon

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
553
250
Kula mzigo wewe acha uboya..ungekuwa ndo unaniambia hizo habari na tuko karibu ningekuchapa makofi kwa ULOFA unaouzungumza...unatatizo gani mkuu.

Naogopa yasinikute ya Babu Seya. Mahakamani kesi hugeuzwageuzwa 1+2 ikawa=12 badala ya 3
 
Lateni

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
677
500
Nakushauri huyo mama usimkubalie ombi lake. Wewe unyesha msimamo wako huku pia ukionyesha heshima kwao( mume na mke)

Pili, wakati anajitongozesha kwako mrekodi kwenye simu yako pasipo yeye. kujua ili ikitokea siku amekuchongea kwa mumewe kuwa unamtaka kinguvu , hizo video ulizomrekodi ndio zitakazokuokoa. Na huyo mume atakuamini na hata kukutafutia kazi sehemu nyingine ataweza.
 
OR7

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
200
250
Nemo finished it. Mkuu majaribu huja na kuondoka, swala ni jinsi gani umejiandaa kukabiliana nayo. Make high your deeds and don't get deceived rest you fall into hell. Your family needs you now than ever. Kama una masikio na usikie
 
Last edited by a moderator:

aye

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
2,094
2,000
Ukigonga tu umeharibu maisha na familia yako na hutakuwa na amani utafanywa mtumwa wa mapenzi nakushauri usikubali
 
Lepanto

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
1,165
1,500
Nemo;
Umejaliwa hekima na busara. Women kike u are very scarcy these days. Huyo mama si kwamba anataka chochote zaidi tu ya kuliwazwa kwa maneno msumari ka hayo. Weka ukweli mezani, atakusikiliza, atakuhurumia na kukuona wa maana. Huwenda ana ka-serengeti kake mafichoni hivyo anataka umshike paja tu aifanye hiyo ndo fimbo ya kukukomeshea.
Siku utalia ni hapo atakuambia tazama mbele tuu usiangalie kiti cha nyuma ana daktari anamchoma sindano. Uambiwe
:bange::bange:kazi yako ni udereva:bange:

Kumbe akina Yusufu bado mpo? changamka! yatakukuta yaliyomkuta.
 
solution

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
493
195
Mkuu uache kazi kivipi na wewe unaihitaji? Just talk to her! She sounds like she needs attention more than anything. So you can say something like "Mama I'll be lying if I say sikutamani, lakini ki ukweli ndoa yangu bado ni changa, na isitoshe kazi hii ndiyo tegemeo langu na familia. Forgive me but mimi singependa wala sitataka kukuvunjia heshima wewe, bosi ama mke wangu."

Love you Nemo. Love your wisdom ..
 
Last edited by a moderator:

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,364
1,195
Mkuu uache kazi kivipi na wewe unaihitaji? Just talk to her! She sounds like she needs attention more than anything. So you can say something like "Mama I'll be lying if I say sikutamani, lakini ki ukweli ndoa yangu bado ni changa, na isitoshe kazi hii ndiyo tegemeo langu na familia. Forgive me but mimi singependa wala sitataka kukuvunjia heshima wewe, bosi ama mke wangu."
Nemo its touching ... reminds me a lot! God bless!!
 
Last edited by a moderator:

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,459
2,000
Hata Yusuphu/Joseph mtoto wa Yakobo angeendekeza ngono asingekuwa mkuu wa Misri chini tu ya Farao.
Acha tamaa mkuu jikaze kaka God will reward you.
 
chameleon

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
553
250
Mkuu uache kazi kivipi na wewe unaihitaji? Just talk to her! She sounds like she needs attention more than anything. So you can say something like "Mama I'll be lying if I say sikutamani, lakini ki ukweli ndoa yangu bado ni changa, na isitoshe kazi hii ndiyo tegemeo langu na familia. Forgive me but mimi singependa wala sitataka kukuvunjia heshima wewe, bosi ama mke wangu."

Thank you for your credt advice Nemo. One thing is, I've tried all my best to keep away from her sexual assult but being hard to understand she persist on being screwd by me. What if i fix her just a single day and look outfasioned? Ie. I do it below the standard? Think twice 'n help me or else she'll kill me.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom