CCM Ni "Chama Dola" Sio Chama Cha Siasa, haingoki Madarakani Ng'oo

DOGofGOD

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
1,344
1,195
Kama Kuna Mtu Binafsi Au Kikundi Cha Watu, Taasisi Binafsi Au Ya Uma,Mwananchi Wa Kawaida Au Chama Chochote Cha Siasa Ambacho Kina Ndoto Ya Kuingoa CCM Madarakani.Kikae Kikijua Bado Mapema Tu Kua Kinaota Ndoto Mchana Kweupee

CCM Ni "Chama Dola" Na Sio "Chama Cha Siasa".CCM Ni Zaidi Ya Mwenyekiti Wa CCM Na Katibu Wake,CCM Ni Zaidi Ya Makao Makuu Pale Lumumba,CCM Ni Zaidi Ya Mkutano Mkuu Pale Dodoma,CCM Ndio Raisi Wa Nchi Na Serikali Yake,CCM Ndio Viongozi Wakuu Wastaafu Na Walio Madarakni,CCM Ndio Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama,CCM Ndio Usalama Wa Taifa,CCM Ndio Tume Ya Uchaguzi(NEC),CCM Ndio Upinzani(Baadhi Ya Vyama Vya Upinzani Ni Matawi Matiifu Ya CCM)

Km Taasisi Zote Hizi Bado Ziko Nyuma Ya CCM.UKAWA Hata Kama Ingejiunga Na ODM(Kenya) Au FDM(Uganda).Swala La Kuing'oa CCM Madarakani Bado Itakua Ni Ndoto Ya Alinacha.

Twendeni Tukajiandikish Kw Wingi.EL Muachen Ajiunge Na UKAWA.Lakn Ukweli Utabak Palepale "Dr.JP Magufuli" Ndie Raisi Wetu Ajae.Utake Husitake Huu Ndio Ukwel.Ila Sio Jambo Baya Kuota Ndoto
 

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
792
500
chama "Dora" hahah akili za kuku hizi. Mimi najua kuna chama dola hii yako mpya.
 

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,052
2,000
Kuweka kumbu kumbu sawa kwa mleta mada.... nchi zote zilizo tuzunguka, vyama vilivyo leta uhuru vilikuwa chama dola kama ccm tu sasa viko wapi?
 

chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,806
2,000
Kama Tanzania ni shamba la kikwete na kampani yake ndio itakua hivyo tena usijaribu kusema goli la Mkono wakati nguvu ya umma ipo ya kutosha kitaani wanasubiria tu saaaaaaaaaa kamata.

Aliondolewa gadafi atakuwa mr dhaifu usicheze na nguvu ya umma we -----.
 

DOGofGOD

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
1,344
1,195
Kuweka kumbu kumbu sawa kwa mleta mada.... nchi zote zilizo tuzunguka, vyama vilivyo leta uhuru vilikuwa chama dola kama ccm tu sasa viko wapi?

Kama Bado Taasisi Zote Hizi Ziko Nyuma Ya CCM Hazijagawanyika.CCM Haiwezi Kutoka Madarakani.CCM Bado Ni Taasisi Yenye Nguvu Na Ina uwezo Wa Kubadili Matokeo Wakati Wowote Na Kwa Gharama Yeyote.UKAWA Wataambulia Ubunge Lakini Uraisi Wasahau
 

mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
506
250
we utakua una matatizo hivi hauoni aibu kuzungumza utumbo wako ktk demokrasia huo ni wa mabadiliko
 

All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,630
2,000
Kiongozi mimi sisiemu siipendi ila kwa ukawa kumkaribisha lowassa fisadi basi wamepotea wote
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,029
2,000
Uchaguzi wa mwaka huu ni kati ya aliejiandaa kwa miaka 20 na alieshtukizwa.
 

DOGofGOD

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
1,344
1,195
we utakua una matatizo hivi hauoni aibu kuzungumza utumbo wako ktk demokrasia huo ni wa mabadiliko

Mimi Sipendi Kuidanganya Nafsi Yangu Kwa Kujipa Matumaini Hewa.Huu Mfumo Wa Sasa Wa Kujiandikisha Na Kupiga Kura Kielectroniki Ndio Mwisho Wa Habari Ya Ukawa.Hawachomoki Lazima Waumie Tu.

Anaependa Kuendelea Kujipa Ugonjwa Wa Moyo Aendelee Hivo Hivo Kujidanganya Kua Kura Yake Ndio Itaing'oa Sisiem Madarakani.
 

juve pauly

JF-Expert Member
Jul 26, 2015
507
500
Acha kujidanganya ww, 2015 itajulikana kama Tanzania itakuwa huru au itaendelea na ukoloni wa CCM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom