Kwa muktadha huu "URAIS" ni wa CCM 2015...

GalaxyS3

Senior Member
Dec 20, 2012
100
195
I was not underestimating them, but understanding them.Una miaka mingine mitano ya kutawaliwa na CCM. Your calculations didn't go right.Hivi uliamka kweli? B'se your comments are overdue.

You had to rub it in his face?

You asked AshaDii in one of your post if she is sad or angry; come to think of it myself, i really dont know how i feel. A classic case of being stuck between a rock and a really hard place!

You gotta give it to AshaDii on this one, she saw this one coming and put in record! I mean, i went through her post, and its tick, tick, tick, tick.. The first comment was " Huna Hoja".

But This Is Africa, nobody has time to listen and plan. Everybody is talking and everything is rush rush rush..and its ALWAYS SOMEONE ELSE'S FAULT.
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,466
2,000
You asked AshaDii in one of your post if she is sad or angry; come to think of it myself, i really dont know how i feel. A classic case of being stuck between a rock and a really hard place!

At the moment emotions are so high, so it may be difficult to know how you feel. It feels like you have just been dumped. Doesn't it? lol. But with time, utajua tuu.

You gotta give it to AshaDii on this one, she saw this one coming and put in record! I mean, i went through her post, and its tick, tick, tick, tick.. The first comment was " Huna Hoja".

I wonder how would the first poster feel when they revisit their post today.

Would they feel like a cooked frog for failing to jump out of a pot of boiling water simply because the water started boiling at a room temperature?
 
Kifyatu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,385
2,000
Habari wana Jf,

.
.
.

Kupokea kwa Oil Chafu toka CCM

Ni ajabu sana kuwa CHADEMA wapo haraka sana katika kupokea viongozi toka chama kingine (hasa cha wapinzani wao wakuu CCM) kwa mbwembwe na matangazo. Utata unakuja pale ambapo huyo aliyejitoa CCM ni Kiongozi na akifika CDM anapewa uongozi? Hiyo ni hatarishi kama huyo mtu ni pandikizi, pia kwa namna moja ama nyingine kuwanyima haki wale ambao wanaweza hiyo nafasi nje ya huyo mgeni. ; Hili litatokea na ni moja ya mambo ambayo yataigharimu CHADEMA urais 2015; CHADEMA wanaweza kuepuka kuwa chama chakupokea wale wote ambao wanaogopa kusimama kama wagombea wa CCM e 2015 kutokana na nguvu ya CHADEMA

Bahati mbaya siyo kutokana na Mapenzi juu ya CHADEMA na taifa, bali kwa nafsi na ubinafsi wao. Ni muhimu CHADEMA wakaliangalia upya hili; pengine CHADEMA waje na tamko kwamba mtu yeyote ambaye atahama kutoka CCM dadika ya mwisho hatopata nafasi ya kugombea kwani ni kuwanyima haki loyalists. Chama kije na kanuni kwamba ni lazima ujiunge na CHADEMA miaka miwili kwa mfano before uchaguzi ili uweze kupata experience na chama etc.

Pamoja Saana,

AshaDii.So prophetic. Hasa hapo bluu.

Hivi wewe kweli sio nabii, mtume, majusi, Lady-Nostradamus, vizier, oracle, au nani tena? Nimenunua tiketi yangu ya bahati nasibu hivi nitashinda kesho kutwa? LOL.

Eh? Uliyaona haya February 2013? Haki ya nani wanapaswa kukufanya mwenyekiti wa CDM sasa - hamna utata.

Wakiambiwa wapitie huku kwa maGreat Thinkers wanasema "HUNA HOJA WEWE" - unaona sasa imewacost.

Big up madam.
 
Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
4,975
2,000
So prophetic. Hasa hapo bluu.

Hivi wewe kweli sio nabii, mtume, majusi, Lady-Nostradamus, vizier, oracle, au nani tena? Nimenunua tiketi yangu ya bahati nasibu hivi nitashinda kesho kutwa? LOL.

Eh? Uliyaona haya February 2013? Haki ya nani wanapaswa kukufanya mwenyekiti wa CDM sasa - hamna utata.

Wakiambiwa wapitie huku kwa maGreat Thinkers wanasema "HUNA HOJA WEWE" - unaona sasa imewacost.

Big up madam.

Ukijifunza kufikiri au kutoa hoja bila kuwa na emotions, or unbiased perspective, mambo mengi yapo wazi na yanajieleza yenyewe.
 
Jack Daniel's

JF-Expert Member
May 18, 2015
1,009
1,195
Ukijifunza kufikiri au kutoa hoja bila kuwa na emotions, or unbiased perspective, mambo mengi yapo wazi na yanajieleza yenyewe.
Hamna kinachojieleza chenyewe...tusizungumze kana kwamba huu uchaguzi umeenda vizuri na matokeo tuliotangaziwa ndo yenyewe...mpaka hapa tunajua kura zimechakachuliwa na hii tayari imeshaingia kwenye historia....

CDM played their card the best way possible na wamehujumiwa and hiyo ndio fact...hii historia ya mwaka 2013 haibadilishi ukweli huo.
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,364
1,195
You got me right AJ, But i did not get that you got me the way you did. Your prior statement was too brief :A S angel:.

Enways how Sun Wu is applicable here?

In a way these two parties are in war... Hadi mara nyingine huwa wanajisahau kuwa wapo kwa ajili yetu ni si kwa ajili ya kushindana kwao. In the process ya dimba zao za kisiasa, there some instances hufanya vitu na vitendo kana kwamba wananchi ni wajinga mno na hawatambui wala kuelewa nini kinaendelea.

Hizo techinic za Sun Wu zinaingia kabisa... To him unapo pata ushindi haijalishi umepata ushindi kwa kutumia njia ipi ili mradi umeshinda. That is to say... CCM may win 2015, lakini haina maana kuwa ushindi wao huo unaweza kuwa umepatikana kwa kihalali kabisa.

Kind of I understand you better!

Power of woman intuition? That is is the only guess I can put forward.

God Bless!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom