CHADEMA: Ole wenu mkiipokea Mizoga ya CCM!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,067
2,000
You are absolutely right!

Kwa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, hoja ya Katiba Mpya itakuwa kimantiki ni kaput. Hana tena moral authority ya kusimama na kusema hakubaliani na Katiba Inayopendekezwa kwa sababu alikuwa ni mmoja wa wajumbe waliokuwa wanaitetea ndani ya bunge akifahamu itakuja kumsaidia katika utawala wake.

Mzee Butiku alishawahi kumzodoa Lowassa kuhusu hoja ya serikali tatu katika thread hii,

Ambapo alisema katika kipande hiki,

..kuna tofauti kati ya Lowassa akiwa ndani ya ccm, na Lowassa ndani ya ukawa vs serikali 3.

..watu waliomzunguka wote ni wanaharakati wa serikali 3. Mimi naona it is more likely Lowassa kubadilika, kuliko yeye kuwabadilisha kina Juma Duni, Tundu Lissu, Ismael Jussa, James Mbatia, Prof.Lipumba, etc waunge mkono serikali 2.

..ukawa wakichaguliwa ujue mjadala wa serikali 3 utarudi.
 
Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,668

Mkuu kuna watu hawako tayari kuukiri ukweli kwamba Lowaasa kavua gamba kavaa gwanda. Wao wamekazana tu kwamba Lowassa kainunua Chadema, Lowassa katoa masharti ya kugombea, Team Lowassa ndiyo sasa inaiendesha Chadema...mimi nasema acha waamini hivyo lakini kampeni zikianza ndio wataijua UKAWA, ndio wataijua Chadema. Huko kuna watu si rahisi kununulika kama wanavyodhani na hilo ni sharti la kwanza alilopewa Lowassa alipopiga tu hodi Chadema siku ya kwanza.

CCM wanahangaika, hawajui watauvuka huo mto vipi huku maji yamewafika shingoni. CCM ilishindwa vipi kuwanunua hao viongozi hadi Lowassa peke yake aweze? Hizo zinaitwa cheap propaganda na kama asemavyo Tundu Lissu, CCM imepagawa na haijawahi kutokea toka tupate uhuru...ujasiri wa Lowassa umewatia ganzi na UKAWA wameziba kila mwanya wa kuweza kutokea. Natazama hiyo lineup ya UKAWA halafu anakuja mtu akidai wamenunuliwa...that's all B/S. Imekula kwao.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,067
2,000
CUF wamepata nafasi waliyoitafuta muda mrefu kuikomoa cdm. Subiri milango ya urejeshaji fomu NEC ikishafungwa Duni ataukana uanachama wa chadema. Hii ni kutoka jikoni.

..wakifanya hivyo watakuwa wameikomoa kweli cdm.

..lakini pamoja na hayo bado sheria inatoa nafasi kwa cdm kuchagua mgombea mwenza mwingine.

..kama utakumbuka 1995 ccm walimuwekea pingamizi abdulrahmani babu ambaye alikuwa mgombea mwenza wa augustino mrema. Hali hiyo ililazimisha nccr kutafuta mgombea mwenza mwingine.
 
Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
4,969
2,000
..LOL!!

..i am just trying to be realistic here.

..tuseme ccm wana principles. Wao ni chama cha ujamaa na kujitegemea. Sasa tujiulize kama uchaguzi uliopita walishinda kwasababu wapiga kura wanaamini kwamba Ccm inasimamia principles za Ujamaa na Kujitegemea.

..lakini vilevile tuna choices mbili mbele yetu. YES, tunataka mabadiliko lakini kati ya ccm na ukawa chama kipi ni more likely kutupatia mabadiliko tunayoyataka?

..kwa mfano: mpiga kura anayetaka serikali 3 ajiulize chances za mabadiliko hayo kama atapigia ccm au ukawa.

..vilevile anayepiga vita rushwa ajiulize kama vita dhidi ya rushwa itakuwa na mafanikio akichagua ccm au ukawa.

..kwenye umasikini napo ni hivyo hivyo. Siyo kama ccm haifanyi kazi, ila ni kama umasikini unapigwa vita kwa kasi ya kutosha. Sasa wanaotaka mabadiliko kwenye suala la umasikini waamue kama wameridhika na ccm au wajaribu kwa ukawa.

Cc Nguruvi3, Mag3

Lol;

Unachofanya hapa ni adui wa adui wako ni rafiki yako. Kwa hili ata mimi namkubali Lowasa. Lakini ikifika November tufanya evaluation ya urafiki huo.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,067
2,000
Lol;

Unachofanya hapa ni adui wa adui wako ni rafiki yako. Kwa hili ata mimi namkubali Lowasa. Lakini ikifika November tufanya evaluation ya urafiki huo.

..Magufuli ni very partisan and intolerant to any kind of opposition.

..nimesikiliza hotuba zake nyingi na ujumbe ninaoupata ni kwamba jamaa hapendezwi na uhuru wa kisiasa uliopo Tz.

..sasa upinzani wanapaswa kutambua hatari iliyoko mbele yao na kushikamana.

Cc Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Mkandara, Mag3
 
Last edited by a moderator:

Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
4,969
2,000
..Magufuli ni very partisan and intolerant to any kind of opposition.

..nimesikiliza hotuba zake nyingi na ujumbe ninaoupata ni kwamba jamaa hapendezwi na uhuru wa kisiasa uliopo Tz.

..sasa upinzani wanapaswa kutambua hatari iliyoko mbele yao na kushikamana.

Cc Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Mkandara, Mag3

I have heard from my sources that he makes things personal. If you have some issues with you, he will make sure that you pay heavily. I hope he will restrain if he becomes the next preza.
 
Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,761
2,000
..kuna tofauti kati ya Lowassa akiwa ndani ya ccm, na Lowassa ndani ya ukawa vs serikali 3.

..watu waliomzunguka wote ni wanaharakati wa serikali 3. Mimi naona it is more likely Lowassa kubadilika, kuliko yeye kuwabadilisha kina Juma Duni, Tundu Lissu, Ismael Jussa, James Mbatia, Prof.Lipumba, etc waunge mkono serikali 2.

..ukawa wakichaguliwa ujue mjadala wa serikali 3 utarudi.
Mkuu,
Moja ya vigezo vya kumpima kiongozi wa kisiasa ni misimamo yake kwenye masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Katiba ya nchi ni kipimo kikuu kwa kiongozi yoyote anayetaka kuwa Rais.

Huwezi kuniambia kwa vile Lowassa amejiunga CHADEMA/UKAWA kwa hiyo kwa sasa amefahamu umuhimu wa maoni ambayo yaliwekwa kando katika kuandika Katiba Mpya.

Yaani mtu anayetuomba tumchague awe Rais wetu hafahamu hata msimamo wake kuhusu Katiba? Hata mwaka haujaisha atakuwa amebadili msimamo kama ataanza kutueleza Katiba Inayopendekezwa haifai.

Kwa nchi za wenzetu misimamo kwenye masuala muhimu kama haya (Katiba) ni moja ya kipimo muhimu cha kiongozi.
 
..interesting.

..lakini sitegemei kama Lowassa atakuja ukawa na kujaribu kuleta misimamo yake ya serikali 2.

..pia sitegemei kama alikurupuka tu na kujiunga ukawa bila kujua ukawa ni watu wa aina gani na wana misimamo ipi ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa.

..hata Magufuli naye msimamo wake kuhusu katiba hatuufahamu. hatujui msimamo wake kwenye mambo mengi ya msingi.sana sana tunachojua ni kwamba anakariri sana urefu wa barabara zilizojengwa, na kuwaponda wapinzani kwamba wataandamana kwenye barabara za lami.
 
Lowassa ameingia CHADEMA siyo kwa sababu amependa kuingia kwa vile kina Itikadi na Sera zinazomvutia kwa faida ya kitaifa bali ameingia ili kutimiza malengo yake binafsi. Mbaya zaidi, historia yake kisiasa inakinzana na yote yaliyokuwa ndiyo msingi na nguzo za CHADEMA.

Msimamo wa Magufuli kuhusu Katiba Mpya unafahamika kwa sababu alikuwa ni mmoja wa wajumbe waliopitisha Katiba Inayopendekezwa kama ilivyo kwa Lowassa.

Jaribu kuangalia na kusikia alichokisema Prof. Lipumba kuhusu Lowassa na Katiba Inayopendekezwa.

Last edited by a moderator:

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,067
2,000
Mkuu,
Lowassa ameingia CHADEMA siyo kwa sababu amependa kuingia kwa vile kina Itikadi na Sera zinazomvutia kwa faida ya kitaifa bali ameingia ili kutimiza malengo yake binafsi. Mbaya zaidi, historia yake kisiasa inakinzana na yote yaliyokuwa ndiyo msingi na nguzo za CHADEMA.

Msimamo wa Magufuli kuhusu Katiba Mpya unafahamika kwa sababu alikuwa ni mmoja wa wajumbe waliopitisha Katiba Inayopendekezwa kama ilivyo kwa Lowassa.

Jaribu kuangalia na kusikia alichokisema Prof. Lipumba kuhusu Lowassa na Katiba Inayopendekezwa.

..ccm nyinyi hata nafsi zenu zikiwasuta huwa mnavumilia tu.

..bunge la katiba lilitawaliwa na ushabiki wa vyama. Nina hakika wapo wana ccm wengi walikubali serekali 3 kwa shinikizo la chama tu.

..pia sikuwahi kumsikia Magufuli kipindi chote cha bunge la katiba.

NB:

..lowassa hana jinsi bali kuishi ktk misingi iliyounda ukawa, ikiwemo kutetea muungano wa serikali 3.
 
Last edited by a moderator:

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,536
2,000
Change is inevitable this year. If we can't make or push for change to happen, we are doomed for next 30 years....kumbukeni January, Mwigulu, Hamisi, Nape, Jerry Silaa, Makonda are in their early 40s.....and so are many others ndani ya CCM....
 
Rev. Kishoka, change is already knocking at the door yet there are people who dont want to open the door and let change in. It is even more frightening that the very people who have been clamouring for change, claiming without change we wont get anywhere are the ones at the forefront hesitating to give change a chance, why? Because an individual by the name of Lowassa has thrown his weight behind that clamour for change. The hypocrisy so blatantly displayed by some of our colleagues sometimes leaves the rest of us spellbound! I shudder at the thought of the likes of January, Mwigulu, Hamisi, Nape, Jerry Silaa, Makonda at the helm...to me it is sickening. It is ten times better to embrace a changed Lowassa than that list of unchanged mafisadi's offsprings and misfits.
 
Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
4,969
2,000
Change is inevitable this year. If we can't make or push for change to happen, we are doomed for next 30 years....kumbukeni January, Mwigulu, Hamisi, Nape, Jerry Silaa, Makonda are in their early 40s.....and so are many others ndani ya CCM....

CCM needs their own Deng Xiaoping, somebody who can bring intellectual awakening within the party.
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,364
1,195

INDEED ...!!

I'm still insisting, there's great change about to unfold. The Liberal CCM (Lowassa, Mbowe and UKAWA group) are doing a very good assignment, swiftly pressurizing and forcing the Conservative CCM (Magufuli and the true reformers remain on there) to come to their sense, to work up , to reconcile with the founding principles, to critically reform ...

My Prediction STANDS; Soon we are going to have a strong Conservative CCM (Mwalimu in his second coming kind of ..) The evil personality aren't entertained neither compatible with maturity gained, .. 50 yrs ware enough for the test and mold up the two distinct groups ..

What is the use of all the political forces - rearranging; if Conservative CCM isn't going to emerge out?

I call upon all new and young generation within CCM .. take this as a serious challenge make it happen ... its now or never!!!!
 
Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
2,000
Change is inevitable this year. If we can't make or push for change to happen, we are doomed for next 30 years....kumbukeni January, Mwigulu, Hamisi, Nape, Jerry Silaa, Makonda are in their early 40s.....and so are many others ndani ya CCM....

Indeed but this year change will favour CCM and solidify its grip on Tanzania. . Watch it happen as you cheer on..
 
Kakalende

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,255
1,225
Change is inevitable this year. If we can't make or push for change to happen, we are doomed for next 30 years....kumbukeni January, Mwigulu, Hamisi, Nape, Jerry Silaa, Makonda are in their early 40s.....and so are many others ndani ya CCM....

Kaka yangu Mchungaji Rev. Kishoka, well said we are doomed for the next 30 years!

Watanzania walikuwa tayari kwa change lakini nina mashaka na hii kamari ya UKAWA kumsajili EL dakika za majuruhi, watanzania hawa hawa ninavyowajua sitegemei mabadiliko makubwa zaidi ya ongezeko la wabunge wa upinzani; wengi wao wakiwa makapi ya ccm waliomfuata EL baada ya kukatwa.

Watch this space, I will be back in 3 months with postmortem.
 
Last edited by a moderator:

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,599
2,000
..wananchi wamepigika kwa umasikini, ujinga, na maradhi, hawaangalii tena kama chama kinasimamia principles au la.

..hoja iliyopo mbele yetu ni kama tunataka kuendelea na Ccm na mfumo huu uliopo au tunataka mabadiliko.

Kweli tunataka mabadiliko lakini sidhani kama kutakuwa na mabadiliko yoyote kwa kuigawa CCM mapande wawili na kuyashindanisha yenyewe kwa yenyewe tukiwaacha pembeni wanamabadiliko wa upinzani ambao walipitia taabu na usumbufu wa aina mbalimbali kupigania mabadiliko hayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom