Recent content by artist

  1. A

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

    Mkuu pamoja na GPA yako kubwa hapo sijakupata on the link kati ya BRN na wewe kukosa nafasi ya chuo
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akaunti ya TFF Yafilisiwa na TRA

    Duu mkuu kweli we Tomaso
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe, David Mattaka hakuwa Mstaafu alipoteuliwa kuwa CEO wa ATCL?

    Hapa ndo unaona dhahiri madhara na athari za kusoma katika lugha ya watu kisha kufanyakazi katika lugha yako ya nyumbani. Mkuu hiyo nadharia ya "good corporate governance." unaonekana umeikariri tu huielewi. Mwakyembe alikuwa wazi kwamba baada ya kuona ubabaishaji wa Chizi ndipo akaamua kufungua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa ccm wahoji..shibuda katoka wapi ktk mkutano wa kamati kuu ilhali ni mpinzani?

    Naona APRM haifahamiki vyema, Nimesoma Jambo Leo Jumapili Mei 20, 2012 na kupata mwanga. Nikafuatilia www.aprmtanzania.org, nikabaini hii ni taasisi huru ila Shibuda labda kama ni kweli alipotoa mada NEC akateleza hili na lile au alieleza utani tulioamua kuuchukua kuhangaika nao.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

    Hukumu ya kwanza Kisutu Hakimu aliyewafunga ni Eddy Lyamuya shastaafu sasa. Rufaa yao ya kwanza alisikiliza Mihayo peke yake. Rufaa ya pili ndio akina Massati et al.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Sheikh vitu vingine tuongee kwa takwimu. Nenda website ya UN, kwa nafasi yake Mama Migiro alikuwa ni msaidizi wa Katibu Mkuu so alikuwa anatumwa na ziara zake zinaratibiwa na UN office. Hata ukimuona nyumbani ilikuwa inaratibiwa na UN ofisi so si kosa kurudi nyumbani. Tutafute lingine la kumkosoa.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Tunaambiwa mnapokhitilafiana katika uislamu rejeeni katika Kuran na hadithi. Sijui masheikh wetu kama wamejiridhisha kama anachovaa yule mama ni Hijjabu, mtandio au kilemba? Tupate kwanza tafsir ya uislamu kuhusu hijjab, tusiingize dini takatifu katika mambo machafu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete ateua Mwandishi Mpya wa Hotuba: Msafiri Wilbert Marwa

    Mjadala huu ni mtamu lakini kuna mahali tunajadili hisia zaidi kuliko ukweli. Link hiyo hapo juu inaweza kutuongezea ufahamu kuhusu the art of speech writing hasa kwa uzoefu wa Obama. Wakati baadhi tunamjadili Msafiri wa umri, digrii yake au hata kabila lake, Obama, anayesifika mno kwa hotuba...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge Nyota!

    Makamba?Sidhani kama anaweza kuwa katika orodha nyota alisikika nje ya Bunge kwenye kutetea Dowans na aliposimama Bunge ni pale alipotaka kupotosha kanuni za Bunge kuhusu lugha ya kuwahoji wagombea hadi Membe alipookoa jahazi. Analysis yako kuhusu Mnyika pia ni wrong mtu anaweza kudhani labda...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kampuni ya Business Times Ltd

    Siamini kwanza kama majira bado lipo, sijaliona siku nyingi na mara ya mwisho nililiona limechooooooooka.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Jamaa kwa sasa ndio Mwenyekiti wa Bodi ya TSN inayosimamia magazeti ya Daily News na Habari Leo. Kama ni kweli ameondoka bila kumudu kuyapa magazeti hayo Mhariri Mtendaji nafasi iliyoibua utata sana. Hii inaweza kuhesabiwa kuwa moja ya failures zake za kiutendaji za kukumbukwa. Otherwise kisiasa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Pamoja na habari hii kuibua maswali mengi lakini jinsi gazeti lilivyoandika (kishabiki na kutoa opinion) inaonekana gazeti hilo ama linataka suala hilo lipuuzwe au wanatekeleza mawazo ya kiza. Kwanza Mwakyembe katuma taarifa hiyo kwa IGP hao wa gazeti wameipataje?Labda swali hili si la maana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania JK apaa kwenda Paris leo...

    Da kweli hii jama. Napata pressure
  14. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa zangu za kiinteligensia kwa Kikwete na viongozi wote

    Hizi ni athari za mabomu, hata mifumo ya fahamu imeharibika. asaidiwe huyu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Shibuda kuwakilisha Bunge APRM

    Shekhe wa Pwani rudia kusoma post. Nimeweka taarifa na kuuliza swali la kuchagiza mjadala, hayo ya wivu ya wapi tena????Du kweli hii ndo Bongo. Nionavyo APRM kama itamtumia vyema taasisi hiyo itaweza kusikika na kupaza sauti yake kuhusu utawala bora nchini.Nahau na mashairi ni mbinu muhimu...
Back
Top Bottom