Why there is no post for her?
A potential threat kwa wale mafisadi wanaotafuta high post?
Who knows, Tanzania could be among the second country in Africe to have a female president!
karibu gizani mama!:A S embarassed::shock:
What have she done so far to qualify to be our president. CHICHIEM Is a failled system na hakuna kiongozi toka kule atatusaidia hata kama angekuwa malaika kwa kuwa hataweza fanya maamuzi against system aliyomo.
Kwa kuwa JK na waislam ni kama kidole na pete, atamsaidia katika harakati za kuingia ikulu
un kama chombo kinachotumiwa na us kwa sasa kinaondoa vikwazo ktk safu yake ya uongozi ambapo kinalazimishwa kupitisha vita kubwa nyingine ambayo us inataka ipitishwe na un....by the way ban kimoon himselfn he has proved failure kwa kulazimishwa kuunga mkono vita ya libya so yeye km kiongozi mkuu wa un kawafanyia nini wa africa zaidi ya kutuongezea machungu na pia kuzidi kutugawa wa wa africa mf sudan imemegeka through un...
Ni kweli ni mwanamke mwenzio ila afike Ikulu kwa nguvu na uwezo wake sio kwa kubebwa. Wanawake wanaopata vyeo kwa kubebwa hawasaidii mapinduzi ya wanawake bali wanawadhalilisha...Wow, Asha Rose Migiro for President 2015. Itakuwa raha sana siku ntaona Asha Rose anakuwa mwanamke wa kwanza Rais wa JMT. Mbona ntafurahi.
Safari ya wapi hiyo? Funguka kidogoWakati tupo masomoni pale juu akitufundisha, alikuwa ana metembezi na profesa mmoja ambae ilikuwa inajulikana wazi yupo safarini, na haikuchukua muda, pro huyu akasafiri. Baada ya yule prof kusafiri, mama akapotea ghafla,na baadae tukaja sikia kaingia kwenye siasa. Huu sio uzushi, ni taarifa zilizokuwa zinasambaa tukiwa pale juu, kwa mufa mrefu mpaka yule prof aliposafiri, huku mama nae kupotea. Wanafunzi wake wengi wanalijua hilo, hasa wale wa miaka yake 2-3 ya mwisho mwisho.
It was not ceremonial. It was administrative that is why there were so many complaints among staff.it was just a ceremonial appointment, angefanya nini zaidi?
Niliweka post moja hapa kwamba Migiro hatulii ofisini lakini wakanirushia maji ya kuwasha. Haya ni matokeo yake kwani watanzania tumezoea kulindana kwa kutazamani nyusoni tofauti na wazungu na mataifa mengine yanatazama utendaji na uwajibikaji wa mtu. Huyu mama kwa kweli hakutulia ofisini, maana alijifanya kama na yeye yuko Kaibu Mkuu vile. Na pia alionekana kama ni mwakilishi wa Tanzania umoja wa Mataifa badala ya kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa matifa.
Watanzania wamezoea kulindana na kujuana na matokeo ya nafasi adimu za kukirimiwa kama hizi sasa zinatuumbua na kutoka vichwa chini? Kama tulichoongelea hapa tungekuwa makini na kuchukulia ushauri na kufanyia marekebisho huenda mambo yangekuwa kinyume cha haya yanayotokea leo.
Shida yako tu hiyo; ni mtanzania ana haki ya kugombea nafasi ya uongozi.
Inasemekana huyu mama ndio chaguo la mkweree kumrithi urais come 2015, kama ni hivyo ni dhahiri kuwa mkweree hajafanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri inspite of all the scandals his ministers were involved anticipating her return so that she lands a cabinet post that will allow her to be locally exposed as opposed to the international exposure that she got while in New york!! Hivyo msijekushangaa Asha akapata ubunge wa kuteuliwa kwani mkweree bado ana viti vyake havijajazwa na baadae uwaziri ambao alikuwa nao anyway kabla hajaondoka!!