Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

Mods please don't move this thread.This thread contains all important information for the members.

Please mods msiiondoe thread hii .Thread hii ina taarifa zote muhimu kwa wana JF.Naomba muiache thread tumieni ustaarabu zaidi.
 
Namshangaa huyu dr wa sheria kuogopa uchawi,binafsi siamini kama kuna uchawi,sasa msomi wa kiwango cha mwakyembe kutishwa na uchawi,ni aibu,au pengine anajitafutia umaarufu wa kisiasa,,

Nafikiri amesema kuwa haogopi kufa kwa kuwa ipo siku atakufa,bali anapenda kuona mustakabali mzuri wa nchi hii.Angalia hicho kikundi cha al shaabab ni hatari kwa kuua na hakitumii uchawi.
 
Nafikiri amesema kuwa haogopi kufa kwa kuwa ipo siku atakufa,bali anapenda kuona mustakabali mzuri wa nchi hii.Angalia hicho kikundi cha al shaabab ni hatari kwa kuua na hakitumii uchawi.

Pamoja na habari hii kuibua maswali mengi lakini jinsi gazeti lilivyoandika (kishabiki na kutoa opinion) inaonekana gazeti hilo ama linataka suala hilo lipuuzwe au wanatekeleza mawazo ya kiza. Kwanza Mwakyembe katuma taarifa hiyo kwa IGP hao wa gazeti wameipataje?Labda swali hili si la maana. Je, baada ya kupata habari kubwa kama hiyo wameiframe vipi-mtazamo wangu kuna something fishy hata ktk gazeti lenyewe lililoandika.
 
Namshangaa huyu dr wa sheria kuogopa uchawi,binafsi siamini kama kuna uchawi,sasa msomi wa kiwango cha mwakyembe kutishwa na uchawi,ni aibu,au pengine anajitafutia umaarufu wa kisiasa,,
Wewe na hao wasomi mwache kujifanya hamuoni point hapa.
Point si kushabikia wala kuamini uchawi.Point ni kuona watu wanavyohaha kudumaza harakati za kupambana na maovu na hatimaye kuwaletea wananchi unafuu wa maisha.

Dr Mwakyembe ana haki kusikiliza na kutoa maoni yake kuhusu taarifa anazozipata kuhusu mikakati ya kumaliza ufisadi.Binafsi naweza kusema kuwa Watanzania tuna safari ndefu sana katika kupambana na uovu.Tunaona jinsi gani watu waliokata tamaa au walio desperate wanavyoweza kuhanja kutumia hata ushirikina ( ikiwemo utabiri!) ali mradi kutia hofu.

Ninashangazwa na matumizi ya rasilimali za taifa kama vile magari ya serikali na vyombo vya dola kama polisi kuzima jithada za wazalendo wenye azma na mapenzi mema kwa nchi yao.

Tusisahau kuwa katika utafiti uliofanyika hivi karibuni, Tanzania iliibuka kidedea kama nchi yenye kuabudu sana uchawi na ushirikina ikiifuatia Mali na ikiwazadi Naijeria!
 
Namshangaa huyu dr wa sheria kuogopa uchawi,binafsi siamini kama kuna uchawi,sasa msomi wa kiwango cha mwakyembe kutishwa na uchawi,ni aibu,au pengine anajitafutia umaarufu wa kisiasa,,

Watu kama nyie hamkosi hirizi viunoni :blah:
 
Pamoja na habari hii kuibua maswali mengi lakini jinsi gazeti lilivyoandika (kishabiki na kutoa opinion) inaonekana gazeti hilo ama linataka suala hilo lipuuzwe au wanatekeleza mawazo ya kiza. Kwanza Mwakyembe katuma taarifa hiyo kwa IGP hao wa gazeti wameipataje?Labda swali hili si la maana. Je, baada ya kupata habari kubwa kama hiyo wameiframe vipi-mtazamo wangu kuna something fishy hata ktk gazeti lenyewe lililoandika.

Gazeti la R. Aziz! unategemea liandikeje? Mafisadi Wataumbuka tu
 
jamani lengo ni katiba mpya....... kupinga mfumuko wa bei na kuondoa viongozi wabovu sasa wana CCM wanataka kutumia mbinu za kuzua majanga ili watu wasikumbuke ata ya gongo la mboto ni janja yao
 
Mhhhhhhhhh ....Maoni mengine bwana, naona Rostam tayari amechomeka watu wake humu mtandaoni. Wanatoa maoni ukiyasoma utathani wanachangia tu huja kumbe wanalipwa !! Tutakapo wagundua, Dawa yenu ni kifo tu !!

Nakumbuka wakati wa kampeni 2010 kuna Meneja mmoja wa mgombea Urais alihusishwa kuwa na mahusiano na Al shabaab. Najaribu kufikiri tuu.
 
Nikisoma taarifa kama hizi,huwa natamani,ingewezekana Mwalimu angelifufuka hata kesho

Annamaria, Nyerere mwenyewe haijajulikana ni mtandao upi ulimmaliza, hata akifufuka wanaweza kumrudisha huko tena. Hapa nguvu inayohitajika ni ile inayomshinda kiongozi wa giza, mafia, alshabab, alkaeda nk
 
Watu hupenda kuongea jambo likiwa kwa mwingine, yakiwakuta wao hujifanya oohh naonewa mara nasakamwa mara ivi mara vile. Hofu ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu yoyote kama ilivo kwa Dr Mwakiembe na nina uhakika mtu yeyote akipata taarifa kama hizo zinamhusu yeye hofu lazima atakuwa nayo tu. Maoni yangu ni kuwa hofu haina msomi wala nani na kifo hakizoeleki hofu yake ipo tu, hivo sentensi zingine tuwe tunafikiri mara mbili kabla ya kuziandika, kama huyu mwana JF Mama Kubwa alichokiandika sijui anakijua au nae kwa vile yupo humu basi kaona apoteze muda tu kujaza wachangia mada!
 
Pasco maelezo yako yanaonekana ni mazito lakini jaribu kutumia lugha moja au Kiingereza au Kiswahili. Pili jaribu kupanga hoja zako na mantiki katika kuwasilisha kwani una mawazo na hoja nzito.
 
Mahali popote kwenye uongozi wa KINYONGE .Lazima ....utajenga WAKANDAMIZAJI na mafisadi tele!!

Tanzania hadi itakapokuwa na UONGOZI IMARA ...itaandamwa na Wakandamizaji na matokeo yao!!!

Yanayoogelewa hapa ni mwanzo tu!!
 
Namshangaa huyu dr wa sheria kuogopa uchawi,binafsi siamini kama kuna uchawi,sasa msomi wa kiwango cha mwakyembe kutishwa na uchawi,ni aibu,au pengine anajitafutia umaarufu wa kisiasa,,

Nanyaro unashangaa nini sasa? Hapo Dr Mwakyembe alikuwa akitoa taarifa ya mipango ya kumwua yeye na siyo kwamba anaamini uchawi. Viongozi wengi wanaamini ushirikina kuwa unawalinda dhidi ya wabaya wao. Mimi nikitoa taarifa ya uchunguzi wangu kuwa Nanyaro ana mpango wa kuniua mimi na ushahidi nimeupata kutoka kwa mganga aliyekupa zindiko ili ufanikishe lengo lako, je hapo nitakuwa nimeamini ushirikina? Naomba tuwe great thinkers wa kweli wanaosoma na kuandika mawazo ya tafakuri za kina
 
Mimi nimechoshwa na usanii wa Mwakyembe, kuna wanafunzi wake leo wanasema wanaona aibu kwamba walifundishwa na Mwakyembe, he is a shame to the profession. Halfu na sisi tunaingia kwenye mkumbo wa kila kitu kusema ni mafisadi. Tukumbuke tu juzi kwenye ajali yake iringa, maelezo yake yalipishana na upelelezi wa polisi, wakati yeye akidai aliona ajali yote, uchunguzi wa kitaalamu ukasema alikuwa amelala. Mimi nimechoka na Mwakyembe, sasa hivi anataka kusema JESHI LA POLISI linataka kumuua kwa nguvu za giza??? Hivi ni msomi huyu kweli?? Kwanini wasimpige risasi wakamtungua?? And why now?? Kuna sababu gani ya mtu yoyote kutaka kumuua Mwakyembe leo?? Siasa yake ndiyo imefika mwisho hapo, hata atudanganye vipi tena, hatudangayiki.

Inawezekana wewe ni kibaraka wa RA huna lolote tumekujua... ushindwe na ulegee
 
Anawatuhumu jeshi la polisi, usalama wa taifa, na waganga wa kienyeji

Source: Gazeti la Mtanzania katika Mapitio ya magazeti Magic FM (Huwa sinunui magazeti ya RA)

Instill fear, keep the enemy off balance...
 
Ah! nayeye amezidi kimbelembele

Kwahiyo mtu akizidi kimbelembele stahili yake ni kuuawa? Umeitoa wapi hiyo hekima BinMgen? Kumbuka uhai tulio nao umetoka kwa Mungu na hakuna yeyote mwenye uhai kama wa kwangu kuwa na haki ya kutoa uhai wangu ili yeye abaki hai! Hii bila shaka ni hekima inayotoka kwa shetani ambaye ni muuaji mkubwa tangu zamani! Sasa wewe ndio unaishabikia unataka tukueleweje sasa?
 
Mimi nimechoshwa na usanii wa Mwakyembe, kuna wanafunzi wake leo wanasema wanaona aibu kwamba walifundishwa na Mwakyembe, he is a shame to the profession. Halfu na sisi tunaingia kwenye mkumbo wa kila kitu kusema ni mafisadi. Tukumbuke tu juzi kwenye ajali yake iringa, maelezo yake yalipishana na upelelezi wa polisi, wakati yeye akidai aliona ajali yote, uchunguzi wa kitaalamu ukasema alikuwa amelala. Mimi nimechoka na Mwakyembe, sasa hivi anataka kusema JESHI LA POLISI linataka kumuua kwa nguvu za giza??? Hivi ni msomi huyu kweli?? Kwanini wasimpige risasi wakamtungua?? And why now?? Kuna sababu gani ya mtu yoyote kutaka kumuua Mwakyembe leo?? Siasa yake ndiyo imefika mwisho hapo, hata atudanganye vipi tena, hatudangayiki.

Waliosema hivyo kama ni kweli nadhani watakuwa wale lawyers voda fasta ambao hadi sasa ni aibu kwa the legal fraternity.Wakifungua mdomo huwa wanatema upupu na pumba.Wakiandika ndio usiseme maana ni aibu ya kudumu!
 
Back
Top Bottom