Recent content by anoobam

  1. A

    Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

    Duuu et maziwa yakishkwa yanaanguka na hakuna sehemu sensitive km buttocks mmmh,,,,itakua jamaa wanakushika sana matako mpk unajua u sensitive wakee
  2. A

    Msaada namna ya kutumia simu

    Sas cmu umenunua ya nn km hutak kupigiwa??,,,kwa msaada tu ucjisumbue kujua kuwek blacklist kikubwa usiiweke tu line hawatokupigia,,,,
  3. A

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Kasome PCB ,,PCM achana nayo utakosa wa kukuoaa
  4. A

    Nimeamua niache kazi nikajiajiri

    Apo kweny kuku umenivuta na mimi pia,,,nilkua natafuta jins ya kupata kuku wa kienyeji bt nipo mwanza nilkua naitaji.kwa yeyot anayefahamu kwa mwanza wapi kuku wa bei nzur wanapatikan na ambao ni mbegu nzur pia katik kutaga,,asanteni mwenye kujua msaada tafadhali
  5. A

    Jamani naomba ushauri; Je naweza kureseat masomo matatu?

    kwa uelewa wangu mdgo kureseat masom matatu kwa sasa ivi ni ngumu labd km utareseat masomo yote,,,,,alafu kwann usiangalie vitu vngn vya kufany tofaut na kureseat coz umri unazid kwend na maisha hayakusubirii
  6. A

    Utapeli Stand ya mabasi Dodoma

    Nakumbka niliwai kuibiw mwanza kwa style hiyohiyo pale rwegasore mwaka 2010,,,nilipew kimfuko nikatoa tiketi wakanambia niwape ile tiketi nikawapa wakanambia nimeshind tv,,,hivyo nilipie elfu ishirin wanipe tv kwa mihemuko ya kupewa tv bila kufikiria nikatoa elfu ishirini kuangalia tiketi hakuna...
  7. A

    msaada wa kadi ya pikipiki

    Nenda nayo hospitali ilyo karibu yako ama zahanati ,,zen waambie pikipik yako haina kadi watakupa coz kadi zipo nyingi mpka zinakosa wa kuzichukua ,,,,na pia hospitalin ni wasikivu sana so usiogope ,,,watakusaidia
  8. A

    Naomba kujuzwa tafadhali

    Habarin ndugu zangu!!! Mim n mwanafunzi wa moja wapo ya kozi za afya ambazo ni MD,PHARM,NURSING & MED LAB ninachoomb kufahamishw ni kwann mishahara kati ya medical lab&nursing ni tofauti na ule wa pharmacy ingawaje wote wanasoma miaka sawa na pia tukija kwenye suala la kazini kati ya nurses na...
  9. A

    Mbunge wa Mbeya mjini apata ajali, mtoto afariki

    Bazazi ni huyo sugu,, afuna ww unamuonea huruma mtu alieua, daa mungu akuhurumie sana
  10. A

    Series (Special thread)

    mim napenda kama jumong na others of the like kama kuna anaefaam za namna hii na link ya kuzidownload plzz msaada coz nakua bored kukaa bila kuangalia movies
  11. A

    GOOD NEWS

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Daaa dunian kuna mengi mungu nijalie niendlee kuish nione maajabu ya uumbaji wakoo!!!!!
  12. A

    Nina miaka 19 na sijawahi kufanya mapenzi, je nina tatizo lolote?

    Acha ujinga dogo kujisifia sfia tuu,,,km hayo yote unayajua unatafuta ushauri gani sas,,,kwanza nenda tuition babaako anakulipia we kazi kushinda kwenye mamitandao
Back
Top Bottom