Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

Habari wana JF,

Msaada, binti mwenye matokea haya asome masomo gani

Updates:

Samahani kwa nyote.

Kumbe alikosea kutaja namba yake ya Mtihani, baada ya kulia na kuangalia upya, kumbe matokeo yake halisi ni haya yafuatayo:-

DIV III ya Pts 24

CIV - 'C'
HIST - 'D'
GEO - 'D'
KISW - 'C'
ENGL - 'B'
BIO - 'D'
B/MATH - 'F'
COMM - 'D'
B/KEEPING - 'D'

Hkl
 
Jamani mimi ninahitaji kwenda PCM ??
Je Nini kinahitajika ili niweze kufanya vizuri??? Na piaa kombi hii inaugumu kwenye somo gani???
Mtu akiweka bidii atatoka nayoo
 
Kwa uandishi wako huu..lazma ikatage Pcm..rekebisha title alaf kaa usubiri wataalam..lkn ni vizur ukamfuata mwalimu wako wa O level akakushauri maana ndo anakujua vizuri
 
Jamani mimi ninahitaji kwenda PCM ??
Je Nini kinahitajika ili niweze kufanya vizuri??? Na piaa kombi hii inaugumu kwenye somo gani???
Mtu akiweka bidii atatoka nayoo
kijana wangu PCM haihitaji ujuzi wa maandishi kama watu wanavyokuambia ...kikubwa uwe unajua Physics na Maths haswaa cuz izo ni core subject ile uweze kufika kwenye kozi nzito za ki PCM kama Engineering....Actuarial science na Mengine...Kimsingi kwa PCM Physics ni utataaa mtupu kaza sanaa phz na maths cuz kama una apply chuo kwa mtu wa PCM watahitaj 2 Principle Passes za Maths and Physics japo piaa chem uisome vizur ili utengeneze Div nzurii...Fanya maswal Meng mara kwa Mara....Fanya fitnes test nyingi...Pata Muda wa Kupumzisha Akili yako...then Finally Muombe sana Mungu akuweke kwenye Lengo Lako....Karibu Sana...!!
PCM is very wide Combination ina Faculty nyingi ambazo unaeza somea Chuo....but hasaa hasaa Engineering ndio deal kwa PCM...!!!

Soma sana ufaulu vizuri Halafu Karibu Katika ulimwengu wa Wahandisi
 
yani ukienda PCM jamii forum usiingie tena kwasababu utafeli umesikia mrembo.
 
Usipende kusikiliza maoni ya watu kwa vitu vinavyohitaji personal decisions, utajazwa sumu na kutembelea maoni ya watu
Follow your heart.
 
Jamani mimi ninahitaji kwenda PCM ??
Je Nini kinahitajika ili niweze kufanya vizuri??? Na piaa kombi hii inaugumu kwenye somo gani???
Mtu akiweka bidii atatoka nayoo
Mhandisi wa bongo hana insu, kwanza hata utaalam wao ni zero. Hawana mitaji ya kuanzisha majengo. Ndo maana mchina anapewa tenda kuliko wa bongo

kijana wangu PCM haihitaji ujuzi wa maandishi kama watu wanavyokuambia ...kikubwa uwe unajua Physics na Maths haswaa cuz izo ni core subject ile uweze kufika kwenye kozi nzito za ki PCM kama Engineering....Actuarial science na Mengine...Kimsingi kwa PCM Physics ni utataaa mtupu kaza sanaa phz na maths cuz kama una apply chuo kwa mtu wa PCM watahitaj 2 Principle Passes za Maths and Physics japo piaa chem uisome vizur ili utengeneze Div nzurii...Fanya maswal Meng mara kwa Mara....Fanya fitnes test nyingi...Pata Muda wa Kupumzisha Akili yako...then Finally Muombe sana Mungu akuweke kwenye Lengo Lako....Karibu Sana...!!
PCM is very wide Combination ina Faculty nyingi ambazo unaeza somea Chuo....but hasaa hasaa Engineering ndio deal kwa PCM...!!!

Soma sana ufaulu vizuri Halafu Karibu Katika ulimwengu wa Wahandisi
 
Mhandisi wa bongo hana insu, kwanza hata utaalam wao ni zero. Hawana mitaji ya kuanzisha majengo. Ndo maana mchina anapewa tenda kuliko wa bongo
Kalale mbele na HKL yako....utakufa maskini na idea zako za kimaskini
 
Broo niliosema mm n ukwel, sema wahandisi mnajiona xana wala hamtak kpokea mapungufu yenu. Hivi ww unaweza kpokea tender ya serikali kweli. Unao huo mtaji. Maana unatakiwa ujenge jengo likishainuka ndo serikali itoe hella. Hapa UDSM vihandisi vinajishaua akat vikihitim shda tu kwanza utaalam zero
 
Mhandisi wa bongo hana insu, kwanza hata utaalam wao ni zero. Hawana mitaji ya kuanzisha majengo. Ndo maana mchina anapewa tenda kuliko wa bongo
Unajua tofauti kati ya injinia na contractor? Hao wachina wanapewa kazi kama mainjinia au contractors?
 
Back
Top Bottom