Wapenzi wa Game Of Thrones tujiandae na mambo mazuri msimu unaokuja, ule msemo wa WINTER IS COMMING umebadilika sasa na kua WINTER HAS COME. kuna masual mengi ya kujiuliza pasipo kua na majibu, hebu angalia tips zifuatazo
1) Arya stark amerudia kwa kishindo na maujanja yote, atachukua hatua gani atakapokuatana na sansa?
2) kuna trailar imeonesha arya anaongea na jon snow, je snow nae atamfanya nini sansa kwa taarifa atakazopewa na arya juu ya kifo cha stark
3) jon snow atalipiza kisasi kwa waliomuua lord stark, hand of the king?
4) kuna uhusiano kati ya tyrion (mzee wa akili) na mother of dragon, lakini pia kuna uhusiano wa damu kati ya jon snow na mother of dragon. Mother of dragon ataweza kuja kuijua hii siri? Na je ataijua wakati gani?
5) kuna visasi vingi mpaka sasa havijalipwa, je vitaendelea
6) hodoor amekufa, bran o na safari, ataweza kukutana na jon snow?
7) kuna picha zinaonesha white walker wakiwa juu ya dragon, hizi picha zina maana gani?
Mach ifike mapema tu, can't wait and must see