Mbunge wa Mbeya mjini apata ajali, mtoto afariki

Pole kwa wafiwa.. RIP Mtoto.
Mheshimiwa Sugu Pole sana.
Wasije wakakuweka ndani...
Hawakosi sababu mabazazi haya.
 
Uzembe wa dereva, hiyo gari ni scania ya upepo? Usijaribu kudanganya umma. UMEUA. Hakuna SUV hata saloon zinafeli brake 1.5km! Mechanical mechanism ya brakes miaka hii sio ile ya zamani.
 
Kama hii habari ni ya kweli na sheria ikifuata mkondo wake hapa watu wataingiza siasa. Kosa la kugonga mtu na kumuua halafu kukimbia eneo la ajali linastahili kifungo!

Kichwa cha habari kimemjali sana Mh kuliko marehemu.
 
Sugu nae apunguze ushirikina...mwaka jana gari lake lilipata ajali Kitonga leo limeua......Haya maagano na waganga wa kienyeji hayafai
Ni dhana tu hiyo labda utupe uthibitisho,hapa huenda pia ikawa ni mechanical faults,Haya magari ya waheshimiwa usipofanyia service regularly ndo taabu yake,namsihi sugu awe mwangalifu,ile mistari yake ya "bonge la Ajali kitonga na mbunge hakuuawa"... Aachane Nayo coz hujui siku wala nukta,omba Mungu always
 
Uzembe wa dereva, hiyo gari ni scania ya upepo? Usijaribu kudanganya umma. UMEUA. Hakuna SUV hata saloon zinafeli brake 1.5km! Mechanical mechanism ya brakes miaka hii sio ile ya zamani.
Mimi si Engineer Mkuu utanisamehe.
 
Sugu nae apunguze ushirikina...mwaka jana gari lake lilipata ajali Kitonga leo limeua......Haya maagano na waganga wa kienyeji hayafai
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Na Hawa Askari waliokuwa wakienda kutoa msaada ikoje?!
 
Haya ndiyo madhara ya kukesha bar na kuvuta bangi angewahi kumchukua na kumuwahisha hospital pengine angeokoa maisha ya mtoto, nashauri akalie Christmas na mwaka mpya gerezani kama mwenzie.
 
Taarifa iliyorushwa hivi punde na kituo cha ITV kupitia kipindi chake cha habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu mbunge Wa Mbeya mjini amenusurika kifo baada ya gari lake kufeli bleki na kumgonga mtoto wa miaka 15 aitwae Rachel ambapo mtoto alifariki dunia wakati akikimbizwa hospitali.

Mh. Sugu alikuwa akielekea uwanja wa ndege Songwe ndipo alipo fika maeeneo ya Iyunga akapata ajali hiyo mbaya japo yeye na dereva wake hawajapata madhara yeyote mpaka gari hilo lilipo weza kusimama eneo la Tazara Mbeya.

Aidha gari la polisi lilolokuwa likienda kutoa msaada eneo la ajali hiyo ya Mh. Sugu nalo limepata ajali na kupinduka huku askari wake wanne Kati ya sita waliokuwepo wakijeruhiwa.

Tunatoa pole kwa ndugu Wa mtoto, Askari waliopata ajali wakitimiza wajibu wao na Mh. Mbunge wa Mbeya mjini.
Sugu ajiangalie sana kuhusu mwendo wa gari lake , hii ni mara ya pili sasa , Mungu hawezi kumlinda mtu mmoja mara zote .
 
Taarifa iliyorushwa hivi punde na kituo cha ITV kupitia kipindi chake cha habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu mbunge Wa Mbeya mjini amenusurika kifo baada ya gari lake kufeli bleki na kumgonga mtoto wa miaka 15 aitwae Rachel ambapo mtoto alifariki dunia wakati akikimbizwa hospitali.

Mh. Sugu alikuwa akielekea uwanja wa ndege Songwe ndipo alipo fika maeeneo ya Iyunga akapata ajali hiyo mbaya japo yeye na dereva wake hawajapata madhara yeyote mpaka gari hilo lilipo weza kusimama eneo la Tazara Mbeya.

Aidha gari la polisi lilolokuwa likienda kutoa msaada eneo la ajali hiyo ya Mh. Sugu nalo limepata ajali na kupinduka huku askari wake wanne Kati ya sita waliokuwepo wakijeruhiwa.

Tunatoa pole kwa ndugu Wa mtoto, Askari waliopata ajali wakitimiza wajibu wao na Mh. Mbunge wa Mbeya mjini.
Gari la Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi limeua mtoto aliyekuwa akivuka kwenye kivuko cha watembea kwa miguu eneo la Iyunga jijini hapa asubuhi ya leo.
 
Back
Top Bottom