Kuna siku nimekata tiketi safari ya tunduma gari ya saa moja nafika manzese gari haijafika abiria tunaambiwa gari ipo garage matokeo yake tumepanda gari gari iliyotoka singida imewashusha abiria hapo hapo tumeambiwa wale wa tunduma mtapanda gari hii na safari ikaanza saa tatu kasoro. Hili tatizo...
Hii ndio wale walimtuma yule bwana asiyekuwa na ujuzi wa sheria akatetee taifa na akaenda kusema hakujiandaa na kubagazwa na kijana mdogo wa kibeberu sio?
Ni ushauri tu kama wewe mwenyewe, wazazi, walezi, ndugu, sponsors and so…… wana uwezo wa kukusomesha vizuri achana kabisa na HESLB fanya hivyo tu ikiwa there is no other way.
Tunayoyashuhudia huku makazini kwa vimishahara hivi vya ngama ni dhahma hoa jamaa watakopokufikia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.