D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,643
- 121,047
Ok tuchukulie hayo yote yana ukweli,Kwa kundi la wachezaji alilonalo Ten Hag mtamtukana bure tu.
Ni kundi hilo hilo walishindwa kufanya pressing chini ya Rangnick wakawa wanacheza dakika 30 zingine wanarudi default mode.
Mwanzo wa msimu wa 2021/2022 Ten Alitaka kucheza mpira wake kilichotokea sote tuliona, aliamua kubadili mbinu kumitigate risks timu ilikaa sawa.
Msimu huu pia amejaribu kurudi kwenye mfumo wake tumeona yanayotokea ni pattern ya hao wahuni.
Hata wakifundishwa na Mungu hawatabadilika.
They are uncoacheable.
Je hao makocha hawafundishwi elimu ya kulinda heshima zao.
Si uvunje mkataba kwa mutual agreement.
Chelsea to top 7 our first priority then we aim more further